Tanga: BAKWATA yagonga Mwamba Idd yafanyika leo

Tanga: BAKWATA yagonga Mwamba Idd yafanyika leo

ni mwendawazimu tu ambae anaendelea kuwaamini, kuwasikiliza na kuwafata Bakwata.

Sisi leo ni Eid hapa Dar es Salaam.
Kwanza inatakiwa ieleweke kuwa
Tanzania Haina mufti Wala Haina shekhe mkuu.
Huyo ndugu Abubakari Zuberi ni Mufti wa BAKWATA na shekhe mkuu wao kwakuwa hapa Tanzania Kuna madhehebu na taasisi nyingi za kidini na kila taasisi Ina jina inalomtambulisha nalo kiongozi wake mkuu.
BAKWATA waliamua kutumia mufti na shekhe mkuu Kisha mashekhe wa mikoa , wilaya na Miata.
Taasisi nyingine hutumia majina kama mwenyekiti, katibu mkuu, amiri au mudiru hayo ni majina lakini majukumu hutegemea na katiba ya taasisi husika.
Pia kutumia neno shekhe mkuu wa Tanzania na mufti wa Tanzania Hilo jina Lina uongo mkubwa sana kwa sababu tunaposema Tanzania maana yake ni bara na visiwani!, Na inajulikana wazi kuwa kule Zanzibar I BAKWATA haipo kabisa Wala hawaruhusiwi kwenda kufanya jambo lolote kule kwa sababu kule Kuna mufti wa Zanzibar ambaye anateuliwa au kuaishwa na raisi wa Zanzibar na kina kadhi wa Zanzibar ambaye wote wawili kadhi na mufti na wasaidizi wao wanafanya kazichini ya wizara ya Sheria ya Zanzibar.
Nachomaanisha ni kwamba hili jina la BARAZA KUU LA WAISLAMU WA TANZANIA ni batili kwa sababu linaonyesha kwamba waislamu wa Zanzibar pia wapo chini ya BAKWATA wakati kule Zanzibar haiwaitambui BAKWATA kwa sababu wao wanazo taasisi za kidini zinazosimamiwa na serikali kwa ajili ya uislamu na waislamu wa Zanzibar tu.
Uongo mwingine ni kwamba unaposema kwamba " shekhe mkuu wa Tanzania au mufti wa Tanzania inaonyesha kama vile watanzania wote ni waislamu na Mufti au shekhe mkuu ndiye kiongozi wao.
Nasema hivyo kwa sababu pamoja na kwamba Tanzania inao manaswara wengi sijawahi kusikia cheo Cha askofu mkuu wa Tanzania, au padri mkuu wa Tanzania, mchungaji mkuu nk.
Badala yake utasikia askofu mkuu wa kabisa katoliki Jimbo KUU la dar, au askofu mkuu wa kabisa la kiinjili la kilutheri Tanzania kkkt, askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima, anglikana, wasabato, nk.
Maswala ya askofu mkuu, au padri mkuu wa Tanzania hatujayasikia sasa haya ya kusema mufti na shekhe mkuu wa tz Yana msingi gani na anafanya kazi chini ya wizara gani?!
Sawa sawa ni kusema Mufti na shehe mkuu wa BAKWATA na siyo shehe wala mufti wa Tanzania!
 
Balaa Kuuu kwa Waislamu wa Tanganyika. Nimesema Tanganyika kwa sababu kule Zanzibar BAKWATA Haina ofisi Wala haijulikani. Tuseme BAKWATA siyo katika mambo ya muungano kwahiyo kule znz Wana mufti wao na kadhi wao anayeshughulikia mambo ya waislamu wa znz peke yao. Kwahiyo kwa asiyeijua BAKWATA vizuri ni Balaa Kuuu kwa Waislamu wa Tanganyika.
Ni sahihi kwa Zanzibar kujitegemea maana ni Dhahiri Bakwata ilianzishwa na Julius Nyerere kwa kushirikiana na Paulo Bomani , japo malengo yao yalikuwa mazuri tu , ni kuwaunganisha Waislam .
 
Chukua soda duka lolote nakuja kulipa.
Unaishi kwenye mawazo yangu.
Wazee wa sasa wanaoendekeza ubakwata watakua wameishakufa na vijana wanaoshabikia BAKWATA itafika mahala wakate tamaa ya kushinda a na ukweli.
Kijana yeyote wa kiislam anayefanikiwa kufika sekondari atakutana na jumuiya za kiislam huko,ambako kuelewa Nyendo za mwezi ni rahisi,Hawa ndiyo wanaouunda familia baadae
 
Ni sahihi kwa Zanzibar kujitegemea maana ni Dhahiri Bakwata ilianzishwa na Julius Nyerere kwa kushirikiana na Paulo Bomani , japo malengo yao yalikuwa mazuri tu , ni kuwaunganisha Waislam .
Waislam walikua na taasisi yao east African Muslims welfare society,ikiunganisha waislam wote afrika mashariki,ikiwa na agenda za kuindeleza jamii ya kiislam,kwa kuwa Nyerere alipenyezwa kwenye siasa kwa agenda maalum,akaiua taasisi na kuunda bakwata...hakuunda bakwata kuunganisha waislam Bali kuwadhibitu
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa BAKWATA nao wanakula KITIMOTO?
Kwanini kipindi cha mwezi mtukufu kitimoto kina baki buchani KWA muda mrefu!!!?

Ngoja mwezi uishe kitimoto hakibakit faster tu kimeisha!!

Wanapekekea moto mdudu hao!!
 
Ni sahihi kwa Zanzibar kujitegemea maana ni Dhahiri Bakwata ilianzishwa na Julius Nyerere kwa kushirikiana na Paulo Bomani , japo malengo yao yalikuwa mazuri tu , ni kuwaunganisha Waislam .

Mkatoliki hawezi kuwa na malengo mazuri kwa Uislamu.
 
Ommy Dimpoz amesawazisha hili jambo [emoji16]
 
Back
Top Bottom