Tanga: BAKWATA yagonga Mwamba Idd yafanyika leo

Tanga: BAKWATA yagonga Mwamba Idd yafanyika leo

Tangu nikiwa sijaanza shule ya msingi Bakwata nilikua najua ni Hospital.

Baada ya kutoka Mkoa na kwenda Dar, nikiwa mkubwa ndio nikajua kuwa kumbe Bakwata ni msikiti wa dini ya kiislamu.
wewe jamaa kha!

hebu tuache kidogo
 
Umekua mwili tu,kichwani hakuna kitu...ukubwa wote huo bado hujajua bakwata ni nini!!
Najua ni mambo ya waislamu tu. Mengine sijui. Kijijini kwetu enzi hizo nilikua naona watu wengi wakienda kutibiwa BAKWATA.

ILIKUWA NI HOSPITALI MAARUFU SANA.
 
7495D7C5-9670-4D4F-9529-99069BC90A32.jpeg
 
Hii bakwata ikubaliane na hao wenzao wanaotazamia mwezi wa saudi arabia ili wawe wanaswali iddi moja kuliko ilivyo sasa, wengine wanasherehekea leo wengine kesho haileti maana ni kundi lipi lipo sahihi na kuonekana wote wababaishaji tu
 
Duniani kote binadam wote hamuwezi kuwa homogeneous. Lazima mtofautiane ktk kufikiri,mitizamo, kutenda, na kuamua. Ndiyo maana hata wafuata ukristu wamegawanyika kwa madhehebu yao kutoka kwenye tawi mama (RC). Hii yote ni kutokana na sababu nilizosema hapo juu. Hivyo hakuna cha ajabu baadhi ya Waislamu kufungua leo na wengine kesho kwani hii tofauti ilishakuwepo tangu enzi na enzi. Ila wote ni wana wa Adamu (wanadamu).

Chaajabu ni pale unapoona mtu ambae siyo muumini wa imani husika lakini anakomaza shingo utadhani skukuu husika inamhusu. Nilichobaini wengi wao ni wafanyakazi ambao kwa sababu ya uzembe, uvivu, na kutopenda kufanya kazi badala yake kupenda mapumziko ndiyo wanaolalamika na kutaka leo iwe siku ya mapumziko. Hii ndiyo tabia ya wafanyakazi wengi Tanzania na bado utaskia wanalalamika eti mishahara ni kidogo wakati kazi hawafanyi wanawaza mapumziko tu. Kila siku wanachungulia kalenda kuona km ipo siku ya kupumzika. Maana Eid ingekuwa alhamis au jumatatu haya makelele usingeyaskia.

Nachojua Muislam mwenye akili timamu hawezi kulalamika kisa siku moja tu iliyobaki wakati kafunga siku zote 29. Hayupo, hawa wanaoropoka hapa wameona siku ya mapumziko hawakuipata. Swali ni moja tu kuwa km kuna waliofungua leo je kuna Muislam yeyote ambaye hakufungua na ameathirika. Na km mwezi umeandama kwa nini leo mnaopiga kalele hapa mlienda kazini. Muuluze yeyote kati ya waliofungua leo km ni mfanyakazi wa umma na hakwenda kazini.

Ebu tuwaache wenzetu waliofunga wamalize salama mfungo wao maana pilipili usiyo ila haiwezi kukuwasha na ya Ngoswe muachie Ngoswe mwenyewe. Uvivu wako wa kupenda mapumziko kuliko kazi libake janga lako binafsi.
 
Chadema na wewe Erythrocyte sio kila jambo ni la kukimbilia ushabiki maandazi wa kisiasa kama unavyofanya!

Waache wenye Dini zao waendelee na mambo yao,wewe endelea kulamba miguu ya Mwenyekiti!

Erythrocyte Wacha kuuleta Ujinga wako mpaka kwenye madhehebu ya imani za watu.
Uislamu uachwe kama dhehebu lenye waumini wake,ambao wanaijua wenyewe misingi ya dini yao.

Kulingana na mapokeo yao kulingana na mafundisho waliyopokea kutoka katika Quran takatifu.

Ujuaji ukizididi huwa unaharibu hata yale machache mazuri unayokuwa uliyatenda awali.
Nafahamu kwamba mkitaja jina langu humu mara moja huwa mnalipwa elfu 10 , kama hapa umetaja mara 2 una uhakika wa elfu 20 , lakini sioni sababu yoyote ya wewe kunilaumu mimi kwa taarifa iliyotokana na Gazeti la Mwananchi
 
Hii bakwata ikubaliane na hao wenzao wanaotazamia mwezi wa saudi arabia ili wawe wanaswali iddi moja kuliko ilivyo sasa, wengine wanasherehekea leo wengine kesho haileti maana ni kundi lipi lipo sahihi na kuonekana wote wababaishaji tu
Hivi unadhani Eid ni suala la Bakwata. Wenye kufungua ngoja wafungue kwani ingawa sisi sote ni wanadamu lakini Kila mtu atakufa muda wake na wakati wake na atahukumiwa kwa matendo yake. Huwezi kilazimisha watu wafanane. Bahati mbaya wenye imani yao hili haliwasumbui, wanaohangaika ni akina ----😋
 
ukisema wenye dini ina maana hao walioko huko ni wao tu hakuna wa kuiingia, ni wao kwa wao tu. Halafu hiyo ni dini na haina umiliki wa kikundi fulani eti ni dini yao tu wengine hawaruhusiwi kuamini imani hiyo. Mnakosea sana kujimilikisha dini kama kikundi fulani hivi kidogo kilichopo tanzania/duniani. Wakatoliki wenyewe kwa wingi wao duniani huwezi kukuta wanajinasbisha kwa ukatoliki wao duniani. Hukuti wanajitajataja hovyohovyo eti ni wakatoliki
 
Hili suala kwa hapa tz lilianza miaka ya 80 katikati,na Hawa wanaofungua na kufungua kufuata mwezi kuandama popote watakua wengi zaidi miaka 20 ijayo
Chukua soda duka lolote nakuja kulipa.
Unaishi kwenye mawazo yangu.
Wazee wa sasa wanaoendekeza ubakwata watakua wameishakufa na vijana wanaoshabikia BAKWATA itafika mahala wakate tamaa ya kushinda a na ukweli.
 
Umekua mwili tu,kichwani hakuna kitu...ukubwa wote huo bado hujajua bakwata ni nini!!
Balaa Kuuu kwa Waislamu wa Tanganyika. Nimesema Tanganyika kwa sababu kule Zanzibar BAKWATA Haina ofisi Wala haijulikani. Tuseme BAKWATA siyo katika mambo ya muungano kwahiyo kule znz Wana mufti wao na kadhi wao anayeshughulikia mambo ya waislamu wa znz peke yao. Kwahiyo kwa asiyeijua BAKWATA vizuri ni Balaa Kuuu kwa Waislamu wa Tanganyika.
 
Back
Top Bottom