Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,808
- 11,973
TANESCO wamekiri kutokuwa na uwezo wa uhifadhi ambao umeshauriwa kimataifa ambao ni 15%. Katika mpango mkakati wa 2020 - 2025 wamekiri kuwa utoaji wa huduma mbovu kuwa kati ya udhaifu walionao
Kwa maneno ya moja kwa moja ni kuwa wamekuwa na panda shuka ya kutoa huduma ya umeme inayosababishwa na ubora usiridhisha wa huduma zao. Mbali na hayo kumekuwa na upotevu wa umeme katika usafirishaji wa umeme ambao ni mkubwa kuliko kiwango kinachopendekezwa cha 9%
Mwaka 2019 TANESCO walipoteza umeme 16.2%
Matatizo mnayoyaona na wao wanayajua