TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Hii Nchi ina vi elements vya UDINI...NSSF hili lilizungumzwa sana lakini linapokuja swala laTANESCO watu walewale waliokua wanapiga kelele za UDINI wa NSSF leo wanasema udini hausaidii....lazima tuwe wakweli chaguzi za serikali ya awamu ya TANO kuna harufu ya UDINI hadi jana baadhi ya watu kusema kua waislamu wanatumbuliwa majipu kila kukikcha na wakuu wa mikoa waliochaguliwa "waswahili ni sita tu" Hizi sio dhihaka? Awamu ya nne ulijaribu kubalance ukanda na udini lakini awamu hiini udini kwakwenda mbele..
 
mkuu huu uzi wako umenisikitisha sana.
Huwezi amini mtu mmoja tu pale NSSF anapigiwa kelele kila kona kisa dini yake tu pamoja na shirika analoliongoza kufanya vizuri kuliko kipindi chochote kile katika historia yake. na wapo wengine wa dini nyingine kwenye mashirika kama hayo wala hawaongelewi kabisa japo mashirika yao hayafanyi chochote zaidi ya kuyaibia mali tu pengine.

leo hii unaleta list ya kigango pale tanesco na umeme ni wa mgao tangia uhuru.
Dr. Rashid aliingia pale na mikakati endelevu wakampiga vita mpaka Daktari wa watu akaamua kukaa pambeni.
hii kitu inasikitisha sana kwa kweli.

Kama mnavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa ina udini na baadhi ya magazeti na wachangiaji wa mtandao huu wa Jamii forums bila kuleta ushaidi wowote kuthibitisha hizo tuhuma kama huu uzi ulioanzishwa hapa Jamiiforums na umefika kurasa zaidi ya 30 bila mtu kuleta ushaidi wa hizo tuhuma.

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa katika kurudisha heshma ya Jamiioforums, nawaletea ushaidi wa Tuhuma ya udini TANESCO kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa.

Waswahili wanasema Mwenye macho haambiwi ona....

tanesco-1-png.329206

tanesco-2-png.329207

tanesco-3-png.329211

tanesco-4-png.329212

tanesco-5-png.329216

tanesco-6-png.329217

tanesco-7-png.329218

tanesco-8-png.329219
 
Udini unapimwa kwa majina tu?kwamba mtu akiitwa john ni lazima atakuwa mkristo,na akiitwa mohamed ni mwislam
 
kama umetumia majina kama kigezo cha udini pole, wengi hapo ni waislam sema walislim na kuwa wakiristo. By the way wauslam wengi wamesoma kweli? Nauliza tu
 
Je umeangalia uwiano kati ya makundi haya mawili ukifananisha idadi yao na nafasi walizo nazo kwenye mashirika..?
 
kama umetumia majina kama kigezo cha udini pole, wengi hapo ni waislam sema walislim na kuwa wakiristo. By the way wauslam wengi wamesoma kweli? Nauliza tu
Walisoma, wamesoma, wanasoma na wataendelea kusoma,
Kwa faida yako na wenye fikra fupi kama zako, "kusoma kwa Muislamu ni lazima na si khiyari", sasa huo upuuzi mnaodanganyana na wapotofu wenzio, majawabu yenu ni hayo.

Kama unautimamu basi hutothubutu kuuliza upuuzi kama hapo awali.
 
Hivi nyie magalatia mkisema eti walioteuliwa hapo kigezo ni elimu na mmesoma sana, Sasa kwanini toka uhuru nusu karne sasa umeme ni washida mpaka leo ni usomi gani mlionao kama si kubwebwabwebwa toka mkiwa shule kwa kupewa matokeo sio yenu
Kunguru hao, shida kubwa kwao ni makelele vitendo sifuri, kusoma bila kuelimika, ndo maana wakaamua kuabudu yule sanamu.
 
Hapa elimu tuu, umeme hauitaji misahafu, kama huamini shika msahafu alafu kaume nyaya za umeme
Wewe mkojolea nyuma shika adabu yako!
Hiyo elimu ambayo mliyosoma kuwazidi Waislamu ni ile ya kuibia Watanzania na kuweka ujanja ujanja na yale na MoU yenu ama elimu ipi?

Wasomi ni wengi ukiwemo wewe CHURA, ila waelimika ni wachache wakiwemo 98% Waislamu.
 
Wakristo wana roho mbaya, ila yako imezidi, chuki inakufanya hata ushindwe kufikiri
Hao walishakata tamaa na maisha ndo maana wakaamua kuabudu yule...,

Ninyi wapendeni wao waliyoyaficha katika vifua vyao ni mabaya zaidi kuliko wanayokudhihirishieni.
 
Kama kwa maoni yako roho nzuri ni kuteua watu wasio na sifa kwa sababu tu ni waislamu basi wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana, na sintashangaa nikisikia umejiunga na IS au El Shabab, maana wanatafuta sana watu kama wewe wasio na uwezo wa kufikiri nje ya utando wa kidini. The easy-to-brainwash type.
We Kima mautumbo gani tena umetuletea hapa?
Wanapozungumza wenye elimu, pita kushoto wewe uliyesoma.
Kusoma hata kasuku waezamsomesha lakini elimu ni kitu kingine.
Si kila aliyesoma ana elimu.
Jifunze tena na uelimike.
 
Wewe mkojolea nyuma shika adabu yako!
Hiyo elimu ambayo mliyosoma kuwazidi Waislamu ni ile ya kuibia Watanzania na kuweka ujanja ujanja na yale na MoU yenu ama elimu ipi?

Wasomi ni wengi ukiwemo wewe CHURA, ila waelimika ni wachache wakiwemo 98% Waislamu.
Wakati wenzako wanasoma wewe ulikua madrasa unaimba kaswida nenda na kaswida zako ukafunge transformer 😀 utabaki kulaumu tu mara baraza linapendelea wakristu.,
 
Kwanza Kuna dini nyingi zaidi ya ukristo na uislam, pili hao wakristo na waislam umeangalia majina tu au umethibitisha vp uislam na ukristo wao? Kwa sababu kama hoja ni uislam haswaa basi uislam sio jina wako Kina Adam, Ally, Said n.k ambao ni wapagani. Kwa majina ya kikristo pia ni hivyo hivyo.
Kabla ya kuandika na kuposti mautumbo yako, fanya tafiti hapo kisha ulete hoja.
Waislamu walijitambua, wanajitambua na watajitambua.

Huo upogo wenu wa kudhani Waislamu ni tutusa, ndio huo huo unaokugharimuni.
 
Udini unapimwa kwa majina tu?kwamba mtu akiitwa john ni lazima atakuwa mkristo,na akiitwa mohamed ni mwislam
Achana na hao, walipinga elimu ya kimagharibi nawashangaa badala ya kuwafundisha kiarabu wanawafundisha kingereza, wakati huko madrassa walifundishwa kuwa kingereza ni ilimu ya makafiri. akina sizitaki mbichi hizi
 
Nimekupa like, sasa mbona mnapinga elimu ya kimagharibi? Unajua maana boko haram wewe dogo huna Elimu ya dini umekuzwa mtaani tu. Faizafoxy njoo umerudishe uyu madrassa
Mwanamtokapabaya wewe, yaani kwa wewe kuzaliwa stendi na kukulia mabaani na kwenye misiba na harusi, wadhani tutakuwa sawa katika kuelimika?

Tafauti yako na nyumbu ni katika kutembea tuu.
 
Nyinyi elimu zenu wakristo ni nuksi tu kwa taifa

Wasomi wenu kama kina Adrew chenge wamebobea kwenye sheria na kulitia hasara taifa

Mkiwa na Maprofesa kama Tibaijuka balaa vile vilee wizi wa mali za umma tuuh

Ndiyo maana taifa hili maskin shauri ya majipu kama nyinyi na wasomi wenu wa kanisa.

Hamna tija kwa taifa.
Hahahaha, hao wengine hawana dini bwana,
BTW, nyie mliesoma waelimisheni waislamu wenzenu pia wasome shule,
Kuna mdau mmoja amesema nenda pale coet udsm angalia wanaosoma electrical engineering waislamu ni wangapi?
Sasa unategemea wangeajiriwaje tanesco mkuu, saa nyingine tuongee ukweli,
Hapa tz vyuo karibu vyote vya private ni vya wakristo, hospitali binafsi karibu zote ma mashule yote ya sekondari yanayoongoza kwa utoaji elimu bora ni ya wakristo, hamuwezi kuliona hili??
Halafu jifunze kutofautisha,
Hawa nduguzetu waislamu wa Mikoa ya pwani kila kitu wapo nyuma, maendeleo, elimu etc kazi kucheza ngoma tu eti?? halafu unategemea washindane na mihaya na minyakyusa na misukuma eti mkuu??
Mkiwa huko misikitini wekeni pia mkazo kwenye elimu..
Sisi ni ndugu, tunayo mapungufu ila inapobidi tuambizane ukweli
 
Mimi nashangaa nyinyi kujiita wasomi huku hakuna cha maana mnachofanya zaid zaid ya kuiba pesa za umma na kuzitoroshea kwenye sadaka makanisani

Huko mnajenga shule na vitu vingine kumbe ni fedha za umma hizo

Na pia nyinyi ni maskin tuh na wenye kupenda kubebwa bebwa

.hizo shule nyingi mnasema zingine ziliachwa na bwana zenu wakoloni na zingine ni MOU ambayo ni msaada wa serikali tena kwa kodi zetu..mtatuambia nin

Hakuna cha maana mnachokifanyia taifa hili zaid zaid ya wizi na ufisadi tuuh

Mwisho hapa kwenye escrow had makanisa na maaskofu mkayashirikisha kwenye wizi wa mali ya umma.

Majipuuu nyinyi
I am surprised with your reasoning
Vipi kuhusu haya mashule yote makubwa ya zamani ambayo hata baadhi yenu mmesoma?? Yalikuwa ni ya sadaka toka Mali za umma pia?
Na hata hivi vyuo vya umma ambavyo ni wachache wenu wanasoma huko, navyo ni vya sadaka??
Ukiishi kwa kuhisi unaonewa utaishia kulialia,
Hamasisheni watoto wenu wasome elimu dunia vinginevyo haya yataendelea na tutaja onana wabaya
Changamkeni wacheni kupeleka watoto madrasa pekee,
Mikoa yote ambayo kuna uislamu sana basi kuna umaskini wa kufa mtu na watu wapo nyuma kwa kila kitu..watu ni wavivu hata kutembea.
Hebu nyie mliesoma fanyeni jambo hapa..
Sisi ni ndugu, tuambizane ukweli,
Kulialia na kulaumu ni sifa ya mtu aliyekata tamaa na aliyekosa vision.
 
Huu ni wimbo wa zamani ulishachuja
 
tuliambiwa Dau kachukia watu msikitini , je na hawa wamechukuliwa kanisani ?
 
Kama mnavyojua NSSF imekuwa ikituhumiwa kuwa ina udini na baadhi ya magazeti na wachangiaji wa mtandao huu wa Jamii forums bila kuleta ushaidi wowote kuthibitisha hizo tuhuma kama huu uzi ulioanzishwa hapa Jamiiforums na umefika kurasa zaidi ya 30 bila mtu kuleta ushaidi wa hizo tuhuma.

NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

Sasa katika kurudisha heshma ya Jamiioforums, nawaletea ushaidi wa Tuhuma ya udini TANESCO kwa Jamiiforums style nawapa na Ushaidi huu hapa.

Waswahili wanasema Mwenye macho haambiwi ona....

tanesco-1-png.329206

tanesco-2-png.329207

tanesco-3-png.329211

tanesco-4-png.329212

tanesco-5-png.329216

tanesco-6-png.329217

tanesco-7-png.329218

tanesco-8-png.329219

Kwikwi tunafuata vigezo siyo dini
Hapa ni kazi enzi za udini zilikuwa za mzee wa msoga
 
Back
Top Bottom