Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,126
Kwa hiyo umeme upo kwa mujibu wa bibleLabda wakristo nduo wenye hizo sifa za kuajiriwa, sasa una taka muislamu aliye soma madrasa akafue umeme wapi na wapi.
Kwa hiyo umeme upo kwa mujibu wa bibleLabda wakristo nduo wenye hizo sifa za kuajiriwa, sasa una taka muislamu aliye soma madrasa akafue umeme wapi na wapi.
Kumbe Tanesco wameigeuza kama Dayosisi ndio maana umeme ni wa Tabu????
Nchi inayoongoza duniani kwa ushoga ni Saudi Arabia. Nchi yenye mahanithi wengi ulimwenguni ni Saudi Arabia. Weekend mamilioni ya Wasaudia wanamiminika Bahrain ili kupat ile kitu roho napenda i.e Whiskies (alcohol) na hii inaeleweka kwa sababu makazi ya Shetani ni Saudi Arabia na anapigwa kila mwaka hafii lakini akiamua kuwarudi anaua maelfu. Be informed!ukristo=ufisadi, rushwa ,mauji ya vikongwe, ulevi, kutembea uchi, wizi, ushoga, nk
NSSF IKIFIKA IJUMAA TU WOTE WAFANYAKAZI WAJIPIGILIA KANZU NA BAIBUI PAMOJA NA IJABU
Waislamu waliosoma ni wachache sana... Hivyo uwiano hauwezi kiwa sawa
Wala sita shangaa mtu anaye ongozwa na kuamini hisia zake kutoelewa na hata hivyo hulazimishwi kuelewa nssf nini? aliyo yafanya ni madogo? wengine mna fuata upepo tu hamna mnalo jua.Dah, hii yako ainiingii akilini.
What about NSSF?
Wakristo wana roho mbaya, ila yako imezidi, chuki inakufanya hata ushindwe kufikiriTanesco ni mojawapo ya taasisi ambayo watendaji wake inabidi wawe na right technical background.
Hivyo ningekushauri ulieanzisha uzi uende mbali kidogo na kuangalia ikiwa kuna waislamu wameachwa lakini wana the right technical qualifications kwa hizo positions.
Au ukitaka kupata picha, nenda pale UDSM electrical engineering mwaka wa tatu na nne, uliza majina ya wanafuzi wanaosomea electrical engineering, halafu linganisha walio waislamu na walio wakristo. Labda hapo tutaanza kuona lojiki ya thread yako.
Tanesco sio NSSF ambapo mtu yeyote anaweza kuwa meneja na bado shirika likaenda tu. Watu lazima wawe na sifa zinazostahili.
Wakristo wana roho mbaya, ila yako imezidi, chuki inakufanya hata ushindwe kufikiri