Hivi huku kinondoni shamba kuna lain mmezigeuza za mgao? Unaweza umeme kukatika siku mzima na mnalala kiz
 
Tanesco meter yangu inaanzia namba 43 ina remote jana umeme uliisha tukanunua tukaeka lakini shida meter haiiingizi umeme ndan

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wamekujibu? Aisee Hilo tatizo limekuwa kubwa mi mpaka nimeenda ofis za Tanesco nikapewa namba za kuingiza nimeingiza hizo namba ila wapii,siku ya tatu Sina umeme na token ninazo! Kuchunguza namba walizonipa Ni za mita namba yangu Ila mwanzo wameweka sifuri,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumishi wenu wa mwanza wana Tania ya kutengeneza mazingira ya rushwa hadi wanakera, tumemaliza wiring ya nyumba yetu lakini kumpata masavei inaweza chukua miez mitatu hadi 9... Baada ya hapo njoo kwa wanaohusika na kukuunganishia umeme, process inaweza kuchukua mwaka mzima..

Lakini kwa wanaopita njia za panya unakuta ndani ya wiki moja kila kitu kinakua kimekamilika...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei ya kuunganishiwa umeme kwa wakazi wa vijijini imeshuka sana na sasa ni shilingi 27,000/= ndani ya mita 30 kwa single phase tu.. kwa maelezo zaidi fika ofisi yoyote ya tanesco
 
Kimara mwisho tatizo nini. Umeme umekatika siku nzima ns kurud usiku kwa masaa mawili ns kukatika tena . Tatizo ni nn??
 
USHAURI KUNA KITU KINAITWA METER SEPARATION YAANI JENGO MOJA WAPANGAJI WENGI.UNAKUTA KUNA UTATA KWENYE MATUMIZI YA UMEME MFANO MMOJA ANA SALOON MWINGINE ANA DUKA LA DAWA.SIKU HIZI WANATAKA ULIPIE KAMA NEW CONNECTION.MNAKOSA PESA MAANA MNGEWEKA HATA KIWANGO CHA ELFU HAMSINI WATU WANGEWEKA WENGI.
 
Kwa nini mteja analipia nguzo... anakaa miezi mpaka mitatu anasuburi nguzo tuu?? Ina maana hamjajipanga au ni uwezo hamna wa kuhudumia wateja wengi kwa pamoja??
 
Kutoka Moshi...inashangaza tumelipia gharama za kufunga umeme tokea mwaka jana mwezi wa 12 hadii sasa wameshindwa kutufungia. Nimefika kwenye office zao wanasema kwa sasa wanawafungia wateja waliolipa mwez wa 7 na wa 8....kwa namna hioo itatuchukua almost one year ili sisi tuweze kupata huduma ya umeme. Kwa kweli hii ni kero kubwa sana. Tanesco naomba mliangalie hili kwa jicho la tatu.
 
Kwa nini mteja analipia nguzo... anakaa miezi mpaka mitatu anasuburi nguzo tuu?? Ina maana hamjajipanga au ni uwezo hamna wa kuhudumia wateja wengi kwa pamoja??
Mkuu hukuu unaweza ukasubiri hadi miez 8.na nguzo usizione. Mbaya zaidi nguzo za kuwafungia Umeme wa REA zipo ila kwa sisi tuliolipia gharama kubwa wanatuambia nguzo hakuna.
 
Kwa hiyo Tanesco kwenu haina shida mnakata tuu umeme mnavyojisikia hata leo ijumaa kuu tuko humu makanisani Kimara hatuna umeme.Hii nchi hii!
 
Tanesco Tanesco Kimara Baruti no umeme tokea saa nane usiku vitu vinatuharibikia kwenye friji na sikukuuu hii mnatutia hasara,kuna nn Tanesco?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…