NASIKIA KUWA KUNA KAMPUNI ZINAJIHUSISHA NA KAZI ZA KUFUNGA UMEME MAJUMBANI BADALA YA TANESCO NA ZIMESAJILIWA KABISA NINGEPENDA KUJUA UKWELI....PIA GHARAMA ZA MITA YA LUKU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NASIKIA KUWA KUNA KAMPUNI ZINAJIHUSISHA NA KAZI ZA KUFUNGA UMEME MAJUMBANI BADALA YA TANESCO NA ZIMESAJILIWA KABISA NINGEPENDA KUJUA UKWELI....PIA GHARAMA ZA MITA YA LUKU

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wakandarasi binafsi wanaofanya wiring na sio kumfunga umeme.hivyo kama unahitaji umeme na umemeliza wiring fika ofisi ya Tanesco na kitambulisho chako uchukue form bure kisha utafungiwa umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mita yangu imeungua ni wiki ya pili sasa,baada ya kutoa taarifa mafundi walifika na kubaini mita imeungua,wakasema itabadilishwa nyingine wiki mbili zimekata sasa siwaoni tena,kwani inachukua mda gani kubadilishiwa mita iliyoharibika? mana tupo watatu wenye shida kama hiyo...nipo tanga mjini
 
Tunaomba namba yako ya simu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimelipa kila kitu,huduma zote za kuunganishiwa umeme,cha ajabu miezi sita sasa hawajaniingizia umeme,jirani zangu ambao niliwatangulia kulipa wameshaunganishiwa umeme,shida iko wapi? Nipo morogoro ,mkundi kilongo A.
 
Kwaiyo inamaana hii hamjaiona ama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO-Makambako, TANESCO-Makambako, TANESCO-Makambako. Kwa nini mnatupa usumbufu mkubwa sana sisi wateja, hasa tunaotaka kuunganishiwa umeme?
Kwa nini kazi ndogo tu ya kufanya dakika chache tu inachukua hata siku/wiki kadhaa bila sababu za msingi?
Naomba mbadilike haraka iwezekanavyo. Kumbukeni, tunayasema haya tukiwa na"CONCRETE EVIDENCE" ya watu wenye mikono mirefu ambao ndani ya siku chache waliweza kuunganishiwa umeme bila Longolongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni nin na namba yako ya simu mpendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah

Voxser empire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…