Jamani hii ni ajali kama zilivyo ajali nyingine. Ndiyo tuna mgao wa umeme ndani ya Tanzania lakini kwa hili ni ajali. Hakuna kilicho kamili chini ya anga hili, ni hekima kuelewa kwamba hata mitambo inapata ajali. Hakuna sababu za msingi za kuitupia lawama CCM na serikali iliyopo madarakani, hali kama hii inaweza kutokea hata Chadema ikiwa madarakani. Tuwe na mambo ya msingi ya kulalamika. Nawakilisha.
anhaa, sasa Fareed Zakaria ame present mlipuko wa Ubungo leo?Hahaha! haya ndio madhara ya kusikiliza radio na kuangalia TV ya CLOUDS Fareed ni presenter aliyebobea na huonekana CNN nakuandika pia vitabu.
Rudi nyuma kidogo upate wapi Fareed kaingia kwenye mjadala huu na relevance ya kum-quote.anhaa, sasa Fareed Zakaria ame present mlipuko wa Ubungo leo?
Nadhani wewe ndio umedhurika na ulimbukeni na uzungukuku kiasi kwamba unashtuka na kucheka kusikia mtu hajali kumjua Fareed Zakaria, unasubiri mhindi aliyezamia Marekani ambae si ajabu hajawahi hata kufika Africa, let alone Tanzania, akuchambulie matatizo ya Africa wakati kwenu kumewashinda. Tuko na mada ya Ubungo umeme umelipuka jamani, who gives a rat's ass about Fareed Zakaria na wageni wa CNN?
Hana relevance yeyote hapa Fareed Zakaria wa CNN, aliingizwa pale nilipom quote Kichuguu, utadhani CNN wamechambua matatizo ya umeme ya Tanzania kwa kiiiiina! Tuko gizani saa hizi, I can care less about wageni wa Fareed Zakaria wa CNN, yeye mwenyewe ya kwao yamemshinda kakimbia ma Punjab huko.Rudi nyuma kidogo upate wapi Fareed kaingia kwenye mjadala huu na relevance ya kum-quote.
Hana relevance yeyote hapa Fareed Zakaria wa CNN, aliingizwa pale nilipom quote Kichuguu, utadhani CNN wamechambua matatizo ya umeme ya Tanzania kwa kiiiiina! Tuko gizani saa hizi, I can care less about wageni wa Fareed Zakaria wa CNN, yeye mwenyewe ya kwao yamemshinda kakimbia ma Punjab huko.
Message is, usicheke mtu akikwambia hamjui au hajali kuhusu Fareed Zakaria, una sound kama limbukeni, sio kila Mtanzania anaamka asubuhi kuangalia Sunday shows za CNN za Marekani, mengi hayatuhusu, CNN hawaielewi crisis ya nishati Tanzania kama sisi wenyewe, tusisubiri foreigners watuchambulie matatizo yetu.
Huyu mtu uliemtaja ''ndo walewale tu'',habari ni kwamba nae alivuta mgao kwenye dili la radaUtabiri wa Ustaadh Idris Rashid umetimia.
Pole sana ndugu yangu;Hana relevance yeyote hapa Fareed Zakaria wa CNN, aliingizwa pale nilipom quote Kichuguu, utadhani CNN wamechambua matatizo ya umeme ya Tanzania kwa kiiiiina! Tuko gizani saa hizi, I can care less about wageni wa Fareed Zakaria wa CNN, yeye mwenyewe ya kwao yamemshinda kakimbia ma Punjab huko.
Message is, usicheke mtu akikwambia hamjui au hajali kuhusu Fareed Zakaria, una sound kama limbukeni, sio kila Mtanzania anaamka asubuhi kuangalia Sunday shows za CNN za Marekani, mengi hayatuhusu, CNN hawaielewi crisis ya nishati Tanzania kama sisi wenyewe, tusisubiri foreigners watuchambulie matatizo yetu.
Nadhani Fareed Zakaria alikuwa sahihi kabisa. Sasa kama nchi ama rais anashindwa kutatua issue ndogo kama umeme jiulize kuna kitu gani hiyo nchi itajivunia?Leo nilikuwa namsikiliza Fareed Zakaria wa GPS akiongea Afrika. xMmoja wageni wake alisema Afrika ina raslimali nyingi sana (ambayo ni kweli) lakini tangu bara hili lipate uhuru imekuwa na balaa la kuwa na uongozi mbovu. Ame single out nchi chache sana za hivi karibuni, Rwanda na Nigeria (sasa hivi), kuwa zimeanza kuona neema ya kuwa na uongozi mzuri. Alinichekesha sana aliposema kuwa uongozi mbovu ni kama ugonjwa unaoambukiza (contagious). Kiongozi mmoja wa juu akiwa mbovu basi wote wanaofuata chini yake wanakuwa wabovu. Tanzania nadhani tunasumbuliwa na ugonjwa huo.
Ameonekana songas kwani yeye amekuwa fundi umeme kabeba spana namba ngapi.JK ameonekana ubungo songas plant, mafundi wa songas jasho tupu wanavyokimbizana umeme utarusi muda si mrefu ujao stay tuned
HahahahahahaaaaaaNini kwenye mboni? Tanesco wametupiga ngumi kwenye p.u.m.b.u
Umesema ule ukweli mkuu!Mimi pia nilishasema tatizo la umeme halitaisha kwa sababu limefanywa kama dili la mafisadi.Ni kweli cdm wakichimba mkwara wa maandamano umemee utawaka na hakutakuwa na mgao mpaka tena pa kitulia wataanza tena.Nadhani wananchi tumelogwa na haya magamba maana kwa mwenye akili timamu hawezi kuvumilia huu upuuzi!Ndugu zangu, TZ hakuna tatizo la umeme...hili mnaloita tatizo ni kitu kimetengenezwa na wajanja..ni biashara ya wakubwa kujipatia fedha...mtasikia mengie ngojeeni tu. Mbona tukiwa serious kwamba sasa tunaandamana umeme unapatikana?