TANESCO kimewaka, jenereta lalipuka Ubungo!

Nipo Dodoma tena jiran na Bunge mgao 2likuwa tunausikia kwa wenzetu lakin leo giza totoro mpk mishumaa imepanda bei inauzwa sh400.
 
Wamerekebisha, wamejitahidi ku-fix haraka. Nadhani wataomba radhi na kueleza kilichotokea
 
Hili tatizo la uhaba wa umeme ukiliangalia kwa undani sana utakuta tunawaonea bure Tanesco, maamuzi yote ya Tanesco kuhusu hela, mikataba mibovu, na kila kitu kinafanywa na wizara na ikulu. Tanesco wametwishwa zigo ambalo tunabidi tumtuhumu waziri na ikulu
 
Serikali ya JK imeishafanya mgao wa umeme ni dili sidhani kama tatizo la umeme limeshindwa kutatuliwa nchi hii zaidi ya watu kufanya mchongo out of huu mgao ili watengeneze hela.
 
Supersport vi2ko teh teh,announcers laughters teh teh,watu wanamulikia kombe na simu za tochi teh teh... Afu Ngelenya anasemaje eti "...hili jambo la kawaida,hata China sasa kuna mgao wa umeme..." duh our life is a funny f*c*ed up joke!
 
Natamani siku mungu aniwekee viumbe wawili nimchague mmoja awe rafiki yangu wa kufa na kuzikana. Mmoja awe SHETANI na mwingine awe MKWER.E. Hakika nitamchagua SHETANI
 
CCM pamoja na mtoto wake Serikali na Mchumba wao TANESCO nimekubali nimakauzu zaidi ya Mpoki.

Wanatupeleka uwanjani wao wakinywa juisi na baga cc tukiangalia sherehe ya kupokea kombe kwa mwanga wa gari.Ngereja kweli una kimavi yaani kimavi kwelikweli.JK alisema "kelele za mlango hazimzuii mwenyenyumba kulala" ila ajue jamaa alisema "chura anapenda maji lakini sio ya moto"wanatz 2kowatulivu ila co kwa haya watufanyiayo. Mnampa wakati mgumu Nape,itafika wakati atakosa yakujitambia jukwaani.

WANA JF nawaomba 2wazomee huya baba mwanae na mchumba wake. Hayoooooooo.,!!
 
Ndugu zangu, TZ hakuna tatizo la umeme...hili mnaloita tatizo ni kitu kimetengenezwa na wajanja..ni biashara ya wakubwa kujipatia fedha...mtasikia mengie ngojeeni tu. Mbona tukiwa serious kwamba sasa tunaandamana umeme unapatikana?
 
Nchi kuwa gizani si hoja, cha msingi ni kamatakamata ya wabunge wa upinzani na kutia ndani kwani wanasababisha nchi kutotawalika
 
mimi ndio maana nimejikata zangu mbele....hongereni Yanga kwa ushindi na poleni ndugu zangu kwa mgao ambao hata mimi niliufaidi sana ...hongereni watanzania kwa kuichagua ccm kwa miaka mingine mitano....mkumbuke hawa ndio tumewachagua tu hata mwaka haujaisha kwa hiyo tutegemee menngi na tuwe wavumilivu kwa sababu haya yanayotupata tuliyataka wenyewe kwenye sanduku la kura
 
mimi ndio maana nimejikata zangu mbele....hongereni Yanga kwa ushindi na poleni ndugu zangu kwa mgao ambao hata mimi niliufaidi sana ...hongereni watanzania kwa kuichagua ccm kwa miaka mingine mitano....mkumbuke hawa ndio tumewachagua tu hata mwaka haujaisha kwa hiyo tutegemee menngi na tuwe wavumilivu kwa sababu haya yanayotupata tuliyataka wenyewe kwenye sanduku la kura

Shida ni part ya maisha yetu na ni haki yetu sisi watanzania kwaajili ya amani na uvumilivu. Kwa hiyo kukatika kwa umeme sio big deal. Tumeshazoea. Life goes on
 
Back
Top Bottom