TANESCO kimewaka, jenereta lalipuka Ubungo!

... nataka kuliweka wazi hili kiufundi.
Kilichotokea jana ni "trip" ya mojawapo ya mashine
"Trip" ndio nini bana fundi bana, msituyeyushe bana, TANESCO wamevurunda, maelezo yenyewe ya "kiufundi" ndio hivyo tena, ilitokea "trip," "trip" ndio kitu gani? Wataalam wenyewe ndo nyinyi? Kama alivyosema mchangiaji mmoja, tujue moja, Tanzania bila umeme inawezekana.
 
Mkuu mimi si fundi wala sifanyi kazi tanesco wala sifanyi kazi sehem yoyote ya kuzalisha umeme, bali nimeeleza kile ambacho nakijua kuhusu kilichotokea jana. Kwani mtu kama Renatus Mkinga akizungumzia masuala ya kiufundi naye anakuwa fundi? au Tundu Lissu, au Ngeleja anavyoijua miradi ya umeme....
 
Supersport vi2ko teh teh,announcers laughters teh teh,watu wanamulikia kombe na simu za tochi teh teh... Afu Ngelenya anasemaje eti "...hili jambo la kawaida,hata China sasa kuna mgao wa umeme..." duh our life is a funny f*c*ed up joke!

Sijawahi kujisikia aibu kama jana kwenye matangazo ya mpira!! Dunia nzima watatushangaa!
 
Mkuu, nimeambiwa wametoa umeme 'baadhi' ya maeneo, kumbe bado? Hata sijui mkuu wangu, hamjarudishiwa? Poleni sana
dah huku giza tupu,umerudi ucku asubuhi umekatwa tena. Men this is serious! By the way eti nackia mods huwa wanakuja kuchaji sim ofisini na kunyoosha mashati eti umewapiga marufuku?lol
 
Sijawahi kujisikia aibu kama jana kwenye matangazo ya mpira!! Dunia nzima watatushangaa!

.... zaidi ya hapo, inaelekea uwanja ule hauna Power back up, kama sehemu nyingine zinavyofanya katika kukuza ile biashara ya ulaji wa .... GENERATORS.... Aibu tupu licha ya hatari ya maelfu ya watu kulundikana gizani. TFF nanyie usingizi wa pono mpaka maafa yatokee. Yaani hata kusahau ulaji kutokana na hilo? Au tayari mweshavimbiwa?
 
wajinga ndio waliwao mwaka huu kila sehemu ngumu,utajenga uwanja wa kisasa ujigambe kuutimia hata mechi za usiku ukose emergency generator? ulipitishwa katika viwango gani?Tenga na uinjinia wake amekuwa liability ni aibu,ni hatari.
 
Back
Top Bottom