dsm karibia yote haina umeme. watu wa mikoani pia wanalalama facebook hamna umeme. ni tatizo gani na huyu waziri kwanini asijiuzulu tu maana kazi imemshinda? tunahitaji serikali inayowajibika
Kwa kweli Leo kama ni ngumi TANESCO wametupiga kwenye mboni. It was simply more than an embarrassment to the whole nation!
Nini kwenye mboni? Tanesco wametupiga ngumi kwenye p.u.m.b.uKwa kweli Leo kama ni ngumi TANESCO wametupiga kwenye mboni. It was simply more than an embarrassment to the whole nation!
Chonde..watoto bado wadogo...Yule Badu Masoud kesho asubuhi na mapema ataibuka na maelezo chungu nzima yasiyo na kichwa wala miguu. Ingekuwa amri yangu ningefukuza management team yote ya TANESCO pamoja na Board of Directors kwa kushindwa kazi na yule Ngeleja, Waziri Mdogo Malima na Katibu Mkuu wa Nishati, lakini kwa Kikwete ambaye mwenyewe utendaji wake ni sifuri bado wataendelea kupeta tu 🙁
Wakuu nipo hapa Ubungo na mashine moja imelipuka ghafla umeme ukakata kote. Nahisi tutaambiwa nchi itaingia gizani rasmi
ni nchi nzima ipo gizani tokea sa2 hata kanda yaziwa yote naskia giza tototoroMimi hapa niko hapa Sikonge kikazi umeme umekatika ghafla. Nilipojaribu kufuatilia wenzangu wamesema hata majumbani kwao mikoani ni giza tupu. Kuna tetesi kuwa ni grid ya taifa imeachia, yaweza kuwa sababu ni fault, overload etc na nchi nzima inawezekana tuko gizani. .
Mnajaribu kulalamika wakati kila mtu anajua tatizo siyo Tanesco wala Ngeleja. Hakuna tatizo la umeme Tanzania. Ni kitu gani ambacho tumejiandaa nacho vizuri? Ni janga gani ambalo tunaweza kusema tumejiandaa vizuri kuepusha madhara yake? mafuriko? njaa? tetemeko la ardhi? Tunaishi kwa kudra na siwezi kushangaa wahusika walizungumza na Tanesco na "wakahakikishiwa" kuwa hakutakuwa na mgao jioni hiyo na hivyo hawakuona ulazima wa kujiandaa na contingencies za aina yoyote. Si hivyo ndivyo tulivyo? Kwani msongamano wa magari Dar ni kwa sababu hatuna barabara za kutosha? Well hatuna barabara za kutosha kwa sababu.....magari yameongezeka?
Heti waziri wa michezo pale uwajani anatuadaa watanzania kuwa napiga simu alikuwa nampigia nani.?No tulikuwa kwenye mgao sasa na mgao umekatika. hakuna mwanasiasa atakuballi kutumia neno giza hasa wa chama cha magamba. teh teh teh teh teh .
Tusubiri kusikia chanzo.
Maana haya mashirika yana maofisa habari wanalipwa mshiko mkubw tu aakini hawajui kutumia teknolojia ya kisasa kama twitter na facebook. Ukienda kwenye Tovuti yao hakuna maelezo. Kwa tu wanaojua kazi zao taaifa wanatakiwa kujua umuhimu wa twitter,facebook na tovuti.
Tatiz letu tanzania sio wanasiasa tu hata watendaji wengine wote tushakuwa politician