Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,153
- 28,763
Hebu achaneni na udaku. Majina, majina, nani asiyeelewa kwa nini hawataji majina? Msitake kudanya watu hapa. Wote mnaodai wataje majina mnaonekana mko katika kundi la mafisadi. Iweje mtu na akili timamu asielewe implication ya wao kujitaja majina?