Uchungu wa kunyimwa posho baada ya uchumi wa chama kuyumba !!! kwa wa nini kutumia nguvu nyingi hivyo ? Pelekea kwenye vikao vyenu vya ndani, ikishindikana huko lete JF na majibu utakayokuwa umepewa, ikishindikana zadi, hama au achana na vyama vya siasa, mbona kuna watu hawana vyama vya siasa lakini wanaishi bila shida.