Tamko la TCRA kuhusu ujumbe wa simu unaomchafua Dr. Slaa

Ujumbe katika simu ni sehemu ya Rushwa ya kampuni fulani ya simu kwa CCM. Si rahis kwa mtu mmoja kutuma ujumbe kwa watu wengi kiasi hicho. CCM imekwisha yaweka mfukoni hata makampuni ya simu. Watu wanakatwa hadi salio katika simu zao za mkononi bila kufahamu. Watanzania amkeni ili ccm iondoke. Kinachohitajika ni nguvu ya umma, ndio dawa.
 
Swali langu ni huyo jamaa alipata wapi namba za watu ambao hawana hata issue na siasa?
Mtu anatumiwa halafu anashangaa
 
Ujumbe katika simu ni sehemu ya Rushwa ya kampuni fulani ya simu kwa CCM. Si rahis kwa mtu mmoja kutuma ujumbe kwa watu wengi kiasi hicho. CCM imekwisha yaweka mfukoni hata makampuni ya simu. Watu wanakatwa hadi salio katika simu zao za mkononi bila kufahamu. Watanzania amkeni ili ccm iondoke. Kinachohitajika ni nguvu ya umma, ndio dawa.
Nadhani umekosea. Siyo CCM iliyoyaweka makampuni mfukoni. Ni makampuni ambayo yameiweka CCM mfukoni.
 
Msishangae kuona CCM inatuma ujumbe wenye kutaka kumchafulia Dr. Slaa. Wana kawaida hiyo. Ndivyo walivyo.

(1)Wakati walipopambana na Mrema walitumia msichana mmoja kumchafulia.

(2)CUF ilipojitokeza wakasema yamekamatwa makontena yenye majambia yaliyoingizwa nchini na CUF kwa ajili ya kuuwa Watanzania.

(3) Kikundi cha JK kilipambana na Salim Ahmed Salim kwa kusambaza shutuma kwamba alimuua Karume.

(4) Kwenye Slaa wameanza na mwanamke. Imeshindikana sasa wanasema anataka kuwa Rais kwa kuua Watanzania. Na bado huenda wakajaribu mengine.

Kama ukipatikana ushahidi kwamba TCRA ndio walitoa hizo namba za wananchi kwa CCM basi itabidi TCRA washitakiwe.
 
Nadhani umekosea. Siyo CCM iliyoyaweka makampuni mfukoni. Ni makampuni ambayo yameiweka CCM mfukoni.

Ni makampuni ndiyo yaliyowekwa na CCM mfukoni, ndio maana yanaamrishwa na CCM kufanya lolote (including kukata watu salio bila ridhaa yao) na wanafanya!
 
Back
Top Bottom