Naww hapa ndiyo mwisho wako wa kufikir na kuandika ushuzi huu? Mhh samahan huenda tatizo sio wewe!Haya maelezo meeeeengi hayaondoi content ya video ya lwakatare
Naww hapa ndiyo mwisho wako wa kufikir na kuandika ushuzi huu? Mhh samahan huenda tatizo sio wewe!Haya maelezo meeeeengi hayaondoi content ya video ya lwakatare
Kisimani hata mm nilikuwa na hofu kama yako issue ni kuwa washazidaka, issue za kuomba mahakama iruhusu ni kwa ajili ya kufuata taratibu tu!
Ndugu zangu wana JF
Namba hiyo iliyotajwa hapo juu imewahi kuwa namba yangu ya Simu. Namba hii nimeacha kuitumia toka mwezi Juni/Julai mwaka 2012. Hata hivyo namba hii bado inaonekana kwenye businesscard yangu na kwenye email zangu sehemu ya anuani. Namba hii haijawahi kuwa ya Zoka. Imewahi kuwa ya Zitto Zuberi Kabwe peke yake. Namba hii haitumiki toka katikati ya mwaka 2012.
Kama JF inataka kuthibitisha hili waunde jopo la wanaJF watakaopata taarifa za namba hii popote wanapoweza kupata.
Mambo 2, ama namba hii imewekwa kwa bahati mbaya kwenye tamko tajwa au imewekwa makusudi kwa sababu maalumu zenye lengo la kutoa ujumbe fulani kwa watu.
Kwa namna namba hii ilivyochomekwa kwenye tamko hili au hapa JF au vyote kwa pamoja, ni dhahiri kuna juhudi za kunihusisha na upuuzi huu wa ugaidi na unyama dhidi ya binaadamu.
Napenda kusisitiza kwamba, sihusiki kwa namna yeyote ile katika kuwaza, kupanga au kutekeleza mipango yeyote ya kudhuru mtu ama kwa njia za kigaidi au za kijinai. Sihusiki kwa namna yeyote ile kupanga mpango wowote ule wenye lengo la kuhusisha chama changu na vitendo vyovyote vya kigaidi au kudhuru mtu yeyote yule. Juhudi zozote zinazofanywa na maadui wa chama changu za kunihusisha na mambo haya zitashindwa kwani siku zote ukweli huwa bayana.
Napenda kuweka wazi kwamba Mhariri wa Mwananchi ndugu Dennis Msacky ni rafiki yangu wa karibu sana. Ninaamini kabisa kwamba katika suala hili Dennis Msacky ni victim. Juhudi zozote zile za kutaka kumgeuza 'victim' kuwa mtuhumiwa lazima zitashindwa tu kwani siku zote HAKI hutamalaki.
Mtu yeyote anayetaka kutumia urafiki wangu na Dennis Msacky kutaka kujifurahisha kisiasa ajue kuwa furaha yake hiyo itakuwa ni ya muda mfupi sana maana ukweli ukidhihiri atapata aibu kubwa sana.
Ni muhimu sasa mambo haya tuiachie mahakama itende haki.
Mkuu Nyakageni, pole sana, na wengine wote mnaokereka na "bonafide genuine" pia poleni sana ila huu ndio ukweli halisi!, huu ni ukweli mchungu ambao piga ua galagaza, lazima muumeze!.
Sio peke yako unaokereka na kauli hii, mko wengi, haswa kwa kuzingatia kuwa mliisha aminishwa kuwa ile video ni fake!, aliyewaaminisha ni viongozi wenu mnawaaminia, na wengine wanawaabudia!, Pasco wa jf, is just a mare jf member!. how the hell can he dare challenge the authority you trust?!. Nasisitiza its "bonafide genuine!" na ukweli huu utasimama!.
Mpaka sasa, kwa vile mmeishaaminishwa video ni fake, naona hakuna hata mmoja wenu, anayejishughulisha na "contents" za video ile and the motive behind!, naisubiri kwa hamu, about turn ya hao viongozi wenu, watawaeleza nini baada ya kujui ni "bonafide genuine!". Rwaka ameisha mweleza Lissu kila kitu!, akashauri akubali mengine na mengine akanushe, but it won't work that way kwa sababu aliyeurekodi, amebinywa amesema!, Ludo is very cooparative!.
Salama ya Chadema lies on legal technicalities za "admissibility of evidence" kuwatumia hao wanasheria wake 6 na familia ya Rwakatare, wameisha gundua, katika timu yote ya hao wanasheria 6 wa Chadema, hakuna bingwa aliyebobea kwenye "criminology!", hivyo itamleta bingwa wa "criminoloy" kusaidiana na hawa wanasheria 7 wa Chadema, kujenga na historical record ya jopo la mawakili 7 kumtetea mtuhumiwa mmoja!, hivyo chances za kushinda kesi ni kubwa kwa kuzingatia baadhi ya majaji wetu, ni hawa majaji vilaza aliyewasema Lissu!. Wakipangiwa majaji wa ukweli, issues aliyoyaongea Rwaka, ni issie ndogo tuu kisheria inaitwa "actus reus!", ngoma nzito ni "mens rea" ambayo ndio the "motive behind!" na hakuna anayejishughulisha nayo!.
Kama X=Y na Y=Z, then X=Z, X-Rwaka, Y-Actus Reus, Z-Mens Rea.
Pasco.
kweli nimeamini mungu mkubwa,lile sakata la ulimboka limerudi tena,mwigulu ni zaidi ya shetani,kwanini ulishiriki kumtesa huyu daktari wa watu,damu yake na ya absalom kibanda zinakulilia.
Nakubaliana nawe Pasco kwamba ktk hali ya kawaida, hili halikupaswa kufanyika hivi. Lakini kwasababu suala lenyewe limejaa siasa toka mwanzo, CDM hawakuwa na jinsi isipokuwa kutoka namna hii. Hii ni preemptive strike, yaan hata CCM wakiweza kuchakachua mawasiliana, bado watakuwa wameshikwa pabaya maana jamii itajuwa wamechakachua! Kama bado hawajachakachua, sasa wataona aibu maana wamegundulika-sanasana watafuta kesi. Nakubaliana nawe kwamba hii kesi itafutwa.I'm Speechless!.
Ila pia tumepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo ya kimawasiliano na kisheria, ambapo mawasiliano ya simu binafsi za watu ambayo ni siri, na yamepatikana kinyume cha sheria, yanapowekwa wazi kwa waandishi wa habari pamoja na namba za simu!, haya ni maendeleo makubwa sana kimawasiliano!.
Pia kwa kawaida, maombi huwasilishwa kwanza mahakamani ndipo umma ukatangaziwa ni maombi gani yamewasilishwa, lakini sasa kumbe unaweza kuwasilisha maombi kwa kuwatangazia wanahabari, hadi clasified information ulizonazo, ambazo zimepatikana kinyume cha sheria, kwa kutangaza details za hizo info, na ndipo kuziombea rasmi kibali cha mahakama ili ziwe releazed legally, haya pia ni maendeleo makubwa katika tasnia ya sheria!.
Kiukweli hii ni very high profile case, nadhani kwa kumbukumbu zangu, it the highest kwa hapa nchini, kwa mshatakiwa mmoja, kutetewa na mawakili 7!, wakati mshtakiwa mwenza bado hana wakili hata mmoja!.
Please watch out kwa twists and turns za hii kesi hapo mahakamani hiyo kesho!, mambo matatu haya yanaweza kutokea.
- Kesi inaweza kufutwa na kufunguliwa upya, washtakiwa wakaongezeka au kupunguzwa ukiwemo uwezekano mkubwa sana wa Ludo kuondolewa mashtaka na kugeuzwa shahidi No.1 wa serikali!.
- Kesi inaweza kufutwa na kufunguliwa upya ikijumlisha kosa la utekaji wa Kibanda.
- Kesi mpya ya shitaka la Kibanda inaweza kufunguliwa au hivyo kuzifanya hizi kesi kuwa ni kesi mbili tofauti.
- Kesi inaweza kuendelea kutajwa kama kawaida bali kwa kuongeza mshakiwa yule "Bukoba Boy!".
- Lolote kati ya hayo linaweza likafanyi, au yote yakafanyika au yote yasifanyike!.
Pasco.
To be smart, technical terms are unnecessary but the content do.
I'm Speechless!.

Kwann chadema wanapenda kuzungumzia mambo yaliyopo mahakamani...ni kujaribu kupreempty mahakama iwapendelee kwenye maamuzi..
unajua chadema walisha kaa kimya na walikuwa wanafanya uchunguzi wao kimyakimya, ila sababu ccm wanaendleza hilo zogo la kuchafua cdma hvyo ndo maana wameamua kutoa hizo detail na hii ni kufanya wajue kuwa kuna ushahidi wa kutosha.
Kumbe wewe huna maana, ni kuwadi la kutupwa, upo kwa ajili ya maslahi ya bwana zako. Unawapigania ili wapande juu, kana kwamba wewe ulizaliwa uwe ngazi! What a spineless man!!...... utapitishwa ndani, ndipo nitaitwa na nitakutembeza tembeza sehemu mbalimbali!, hadi desk la jf, nitakuonyesha majina halisi ya vimbelembele wote hadi locations na ip address zao!. Karibu sana!.
Pasco.
Mkuu Nyakageni, pole sana, na wengine wote mnaokereka na "bonafide genuine" pia poleni sana ila huu ndio ukweli halisi!, huu ni ukweli mchungu ambao piga ua galagaza, lazima muumeze!.
Sio peke yako unaokereka na kauli hii, mko wengi, haswa kwa kuzingatia kuwa mliisha aminishwa kuwa ile video ni fake!, aliyewaaminisha ni viongozi wenu mnawaaminia, na wengine wanawaabudia!, Pasco wa jf, is just a mare jf member!. how the hell can he dare challenge the authority you trust?!. Nasisitiza its "bonafide genuine!" na ukweli huu utasimama!.
Mpaka sasa, kwa vile mmeishaaminishwa video ni fake, naona hakuna hata mmoja wenu, anayejishughulisha na "contents" za video ile and the motive behind!, naisubiri kwa hamu, about turn ya hao viongozi wenu, watawaeleza nini baada ya kujui ni "bonafide genuine!". Rwaka ameisha mweleza Lissu kila kitu!, akashauri akubali mengine na mengine akanushe, but it won't work that way kwa sababu aliyeurekodi, amebinywa amesema!, Ludo is very cooparative!.
Salama ya Chadema lies on legal technicalities za "admissibility of evidence" kuwatumia hao wanasheria wake 6 na familia ya Rwakatare, wameisha gundua, katika timu yote ya hao wanasheria 6 wa Chadema, hakuna bingwa aliyebobea kwenye "criminology!", hivyo itamleta bingwa wa "criminoloy" kusaidiana na hawa wanasheria 7 wa Chadema, kujenga na historical record ya jopo la mawakili 7 kumtetea mtuhumiwa mmoja!, hivyo chances za kushinda kesi ni kubwa kwa kuzingatia baadhi ya majaji wetu, ni hawa majaji vilaza aliyewasema Lissu!. Wakipangiwa majaji wa ukweli, issues aliyoyaongea Rwaka, ni issie ndogo tuu kisheria inaitwa "actus reus!", ngoma nzito ni "mens rea" ambayo ndio the "motive behind!" na hakuna anayejishughulisha nayo!.
Kama X=Y na Y=Z, then X=Z, X-Rwaka, Y-Actus Reus, Z-Mens Rea.
Pasco.
Basi si wangetulia ili ukweli ujidhihiri kuwa hawana hatia au Lwaka hana hatia? Kwa nini wanaendelea kuhangaika kutoa maelezo kuanzia bungeni hadi kwenye press
Nakubaliana nawe Pasco kwamba ktk hali ya kawaida, hili halikupaswa kufanyika hivi. Lakini kwasababu suala lenyewe limejaa siasa toka mwanzo, CDM hawakuwa na jinsi isipokuwa kutoka namna hii. Hii ni preemptive strike, yaan hata CCM wakiweza kuchakachua mawasiliana, bado watakuwa wameshikwa pabaya maana jamii itajuwa wamechakachua! Kama bado hawajachakachua, sasa wataona aibu maana wamegundulika-sanasana watafuta kesi. Nakubaliana nawe kwamba hii kesi itafutwa.
Naww hapa ndiyo mwisho wako wa kufikir na kuandika ushuzi huu? Mhh samahan huenda tatizo sio wewe!
Ndugu zangu wana JF
- Namba hiyo iliyotajwa hapo juu imewahi kuwa namba yangu ya Simu. Namba hii nimeacha kuitumia toka mwezi Juni/Julai mwaka 2012. Hata hivyo namba hii bado inaonekana kwenye businesscard yangu na kwenye email zangu sehemu ya anuani. Namba hii haijawahi kuwa ya Zoka. Imewahi kuwa ya Zitto Zuberi Kabwe peke yake. Namba hii haitumiki toka katikati ya mwaka 2012.
- Kama JF inataka kuthibitisha hili waunde jopo la wanaJF watakaopata taarifa za namba hii popote wanapoweza kupata.
- Mambo 2, ama namba hii imewekwa kwa bahati mbaya kwenye tamko tajwa au imewekwa makusudi kwa sababu maalumu zenye lengo la kutoa ujumbe fulani kwa watu.
- Kwa namna namba hii ilivyochomekwa kwenye tamko hili au hapa JF au vyote kwa pamoja, ni dhahiri kuna juhudi za kunihusisha na upuuzi huu wa ugaidi na unyama dhidi ya binaadamu.
- Napenda kusisitiza kwamba, sihusiki kwa namna yeyote ile katika kuwaza, kupanga au kutekeleza mipango yeyote ya kudhuru mtu ama kwa njia za kigaidi au za kijinai. Sihusiki kwa namna yeyote ile kupanga mpango wowote ule wenye lengo la kuhusisha chama changu na vitendo vyovyote vya kigaidi au kudhuru mtu yeyote yule. Juhudi zozote zinazofanywa na maadui wa chama changu za kunihusisha na mambo haya zitashindwa kwani siku zote ukweli huwa bayana.
- Napenda kuweka wazi kwamba Mhariri wa Mwananchi ndugu Dennis Msacky ni rafiki yangu wa karibu sana. Ninaamini kabisa kwamba katika suala hili Dennis Msacky ni victim. Juhudi zozote zile za kutaka kumgeuza 'victim' kuwa mtuhumiwa lazima zitashindwa tu kwani siku zote HAKI hutamalaki.
- Mtu yeyote anayetaka kutumia urafiki wangu na Dennis Msacky kutaka kujifurahisha kisiasa ajue kuwa furaha yake hiyo itakuwa ni ya muda mfupi sana maana ukweli ukidhihiri atapata aibu kubwa sana.
- Ni muhimu sasa mambo haya tuiachie mahakama itende haki.
Hapo ndipo panapotushangaza sisi wote, ni kwa vipi anamtetea Msacky ilihali mlolongo wa matukio unaonyesha wazi kwamba ni mhusika? Kwanini asiassume kwamba Msacky anaweza kumgeuka sawasawa na ambavyo Ludovick alimgeuka Lwakatare waliyekuwa wanafanya kazi ofisi moja? Ila mimi nina uhakika kabisa, kwamba Zitto ndiye atakayekwenda kusimama mahakamani against CHADEMA. Katika hili tusubiri tu wakati.Naomba nimtetee kidogo swala la Msaky ni sawa na ungemwambia Lwakatare kwamba Ludo anamsaliti asingekuamini kabisa, na hata hapa Zitto kapigwa upofu. Ila anachonishangaza Zitto ni kumuona Msaky victim tu na hafai kuwa mtuhumiwa yaani hapa nimebaki mdomo wazi.
Zitto alikigeuka chama na sasa namuona bado yuko njia pana, au la ni mmoja kati ya wanaotumiwa na CCM kuendelea kumaliza chama ( bado na mimi nimepigwa upofu hapo)