ulinikera sana na 'bonafide genuine'
Mkuu Nyakageni, pole sana, na wengine wote mnaokereka na "bonafide genuine" pia poleni sana ila huu ndio ukweli halisi!, huu ni ukweli mchungu ambao piga ua galagaza, lazima muumeze!.
Sio peke yako unaokereka na kauli hii, mko wengi, haswa kwa kuzingatia kuwa mliisha aminishwa kuwa ile video ni fake!, aliyewaaminisha ni viongozi wenu mnawaaminia, na wengine wanawaabudia!, Pasco wa jf, is just a mare jf member!. how the hell can he dare challenge the authority you trust?!. Nasisitiza its "bonafide genuine!" na ukweli huu utasimama!.
Mpaka sasa, kwa vile mmeishaaminishwa video ni fake, naona hakuna hata mmoja wenu, anayejishughulisha na "contents" za video ile and the motive behind!, naisubiri kwa hamu, about turn ya hao viongozi wenu, watawaeleza nini baada ya kujui ni "bonafide genuine!". Rwaka ameisha mweleza Lissu kila kitu!, akashauri akubali mengine na mengine akanushe, but it won't work that way kwa sababu aliyeurekodi, amebinywa amesema!, Ludo is very cooparative!.
Salama ya Chadema lies on legal technicalities za "admissibility of evidence" kuwatumia hao wanasheria wake 6 na familia ya Rwakatare, wameisha gundua, katika timu yote ya hao wanasheria 6 wa Chadema, hakuna bingwa aliyebobea kwenye "criminology!", hivyo itamleta bingwa wa "criminoloy" kusaidiana na hawa wanasheria 7 wa Chadema, kujenga na historical record ya jopo la mawakili 7 kumtetea mtuhumiwa mmoja!, hivyo chances za kushinda kesi ni kubwa kwa kuzingatia baadhi ya majaji wetu, ni hawa majaji vilaza aliyewasema Lissu!. Wakipangiwa majaji wa ukweli, issues aliyoyaongea Rwaka, ni issie ndogo tuu kisheria inaitwa "actus reus!", ngoma nzito ni "mens rea" ambayo ndio the "motive behind!" na hakuna anayejishughulisha nayo!.
Kama X=Y na Y=Z, then X=Z, X-Rwaka, Y-Actus Reus, Z-Mens Rea.
Pasco.