Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Status
Not open for further replies.
Ngoja wakome kuwatuhumu watu ovyo badala ya kuwatumikia wananchi.
 
Hawa vigogo waliopo nyuma ya hii scandal je itawezekana kuwakamata na kuwatia hatiani? Kwani kwa kungalia kwangu ni vigogo ambao wapo kwenye zile idara nyeti kitu ambacho itakua ngumu kuwashtaki wote. Magamba kwa uharamia mnaoufanya hamtoendelea popote zaidi ya kuangukia kwenye laana tena sio za kurithi ila za kujitakia
 
Dah!kwa waraka huu magamba lazima yanunue gazeti!ha ha

una uhakika gani kuwa ccm ndo wamelinunua?hii kitu iko mahakamani kwa nini watu wanatapatapa nje ya mahakama?why tusitumie silaha zote zilizopo pale mahakamani?sijafurahia ya kutaja majina na namba za simu hadharani.hawa ni binadamu na wana wategemezi kibao,haiwezekani kuwa tunazichonganisha jamii zao na raia wengine ktk mazingira wanayoishi?just think kuwa saumu anaishi m/mala na familia yake hivi hapo si kuna uwezekano vijana mtaani wakawadhuru kwa kosa la mama/dada/ndugu yao?mtakuwa mmewatendea haki?
 
Wao si wamemweka hadharani Lwakatare kwamba ni gaidi? Wanamwaga ugali nasi tunamwaga mboga, ngoma inakuwa draw.
 
Huu ni ule uandishi wa MwanaHALISI na nimelimiss sanaaa, Nimebakia tu kusoma Al-Nuur peke yake !

Mabere Marando kajitaja kabisa yaani kuwa yeye ni Snr Retired wa TISS,Duuuuuh !
 
Ngoja wakome kuwatuhumu watu ovyo badala ya kuwatumikia wananchi.

Kwa kweli hawa jamaa wanatisha kama bomu la nyuklia. Wanafanya mambo hatari kwa mstakabali wa taifa bila aibu, Mungu inusuru Taifa.
 
Najaribu kutengeneza nadharia ili hii habari ghafla iwe ya uongo, nakwama, aah kama nongwa na iwe, nimeshindwa kabisa, ngoja nipate stim kwsnza
 
Magamba wagusa pasipogusika!Utawezaje kumshika punda mkia kama siyo unataka kuambulia mateke?Chadema iko makini hatua kwa hatua!!Lazima ukweli ujulikane who is behind this.
 
Kwanza,
taifa halipo salama katika kila nyanja iwe uchumi, elimu, afya, siasa, nk nk nk nk

Pili,
walalahoi yaani watu wa kipato cha chini na kati wasitegemee chochote kutoka kwa viongozi wao walio chini ya CCM,
viongozi hao wameapa kwa damu na nyama, kwa mwili na roho chafu kuhakikisha kuwa hakuna hata mlalahoi atakaeibuka na kunawiri kiafya, kielimu, kiuchumi, kisiasa, nk nk badala yake km kuibuka ni kufikia ngazi ya kuweza kununua gari la mitumba(used) na mafuta yakuzingue kila kukicha. Mifano ipo hai wote wanaona.

Tatu,
yeyote yule anaepinga CHADEMA nadiriki kusema ni shetani tena yule mwovu mbaya, maana kwa jinsi serikali, ccm, usalama wa taifa wanavyowafanyia umafia CHADEMA sasa nazidi kuipenda CHADEMA na kuiamini kuliko hata hapo mwanzo, naoan kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu alie hai

Nne,
njia pekee ya kukabiliana na huu umafia unaofanywa kwa walalahoi ni kuasi njia zote kuu za CCM; zipi, kwa jinsi gani kila mtu atajua kwa nafasi yake mwenyewe!!!!

Kila la kheri!!!!!
 
Mkuu Invisible na JF crew,
Ninaona kuna members wengi hapa wanaulizia ile ripoti ya Mabele Marando kuhusu ugaidi na network yake nzima. Magazeti ya jana yaliandika kiasi, ila kwa kutoweka kila kitu wazi. Gazeti la Tanzania Daima kipenzi cha wengi jana lilipeperushwa katika points za mauzo. Sasa kwa kuwa issue si siri tena, tunaomba ule uzi udishwe ukiwa raw ili tupate picha kamili. Nimejaribu kupitia jukwaa la siasa sijaona, au pengine nimeshindwa kuiona.
Shukrani mkuu kama utarudisha huo uzi kama ulishaondolewa hapa.
 
Tembelea jukwaa la siasa, ni km imepigwa mstari katikati hv ukiisoma utapata ujasiri mkubwa sana kuishi katika nchi
 
Hata mimi nashangaa! Kumekuwa na tabia mbaya ya topic muhimu kufutwa kiholela.
 
Tembelea jukwaa la siasa, ni km imepigwa mstari katikati hv ukiisoma utapata ujasiri mkubwa sana kuishi katika nchi

Asante mkuu, nimeenda kule kwa wanasiasa nimeangalia wee sijaona, labda haraka ngoja nirudi tena huko. So sad
 
Tembelea jukwaa la siasa, ni km imepigwa mstari katikati hv ukiisoma utapata ujasiri mkubwa sana kuishi katika nchi

Kwa nini ipigwe mstari? Hivi haya mambo ya ku-censor habari kama tuko North Korea au China yamenza lini?
 
Mmmh! nakuwa napata wasiwasi sanaaaa...... na nchi yangu tanzania, lakini namuomba mungu wa yakobo..... vita hii ya upumbavu ishinde 2015.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom