Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Status
Not open for further replies.
Mkuu huyo ndo pasco aka mr. bonafide ginuwaini, tajiri wa likes hata kwa komenti kinzani yeye ni like kwa kwenda mbele! nami naisubiri like yangu ya kinafiki kutoka kwake.
 

Dr.Slaa na Mbowe hata wakamatwe....CHADEMA haitokufa...
 

...hapo kwenye red bolded...kwa nini unapenda kudanganya wenzio???
 
Hakuna kulala aiseee! Jaman mi naomba maelezo ya uwepo wa hiyo no# ya Zitto ambayo inatumiwa na Jack Zocka.
 
Last edited by a moderator:
Mmetumwa na bado mengi yatajulikana

nani katumwa sasa humu hoja za raia wema tu kama wewe umetumwa utaumwa humu jf make watau wanafuguka kweli kweli kama unapresha ondoka mapema make utazima na mwaka huu mnalo na hamtoki ktk hili la ugaidi make mpaka malando anatunga uongo unafikili masihala.
 
Uzuzu na ulimbukeni wa Mwigulu kwenye siasa unakigarimu Ccm na serikali ndio mana huwezi kuwasikia wana CCM makini kama Dr. Salim wanapayuka manake siasa zimevamiwa na majuha, hadhi ya siasa kwa Tanzania ni kama mwanamke malaya, Too low for ccm. Usanii ni mufilisi###Jk### Just Joking President### is walking in the Statehouse without the business##
 
Nilikuwa mwanaCCM zamani ,kuanzia leo mimi ni CHADEMA .Tuangalie ukweli ndugu zangu.Hivi haya mambo ya kubambikiwa yalikuwepo na sasa ndio silaha ya mwisho ya CCM.Jamani CHADEMA NI MAKINI SANA.TUACHE USHABIKI.NAVAA GWANDA LEO HII

karibu kundini! Hope hutakuwa na akili kama ya Mtela na July
 
Hakuna kulala aiseee! Jaman mi naomba maelezo ya uwepo wa hiyo no# ya Zitto ambayo inatumiwa na Jack Zocka.

mkuu huu ni mpngo wa malando kumchafua ziyo ngoja tusubiri majibu ya zito lazima atakuja hapa jf kumjibu malando.
 
Chadema inaelekea kusambaratika. It's time tu

yamkini unasema ukweli maana hizi harakati zao za majimbo mara m4c zinawaua kabisa au................ !!!!!!!!

loading.................... chenga tupu !!!!!
 
Hivi mwigulu ndio aliweka hayo maneno mdomoni mwa Lwaka? Wamekaa kujadili walio rekodi badala ya kujieleza juu ya huo ugaidi waliokua wanaufanya. Watakuja na maelezo ya kila aina lakini mwisho wake ni mbowe na slaa kunyea debe
 

wewe acha kutukana wanawake kumbuka unamzazi mmoja mwanamke kama ya kuchangia yameisha kalale kuliko kuanza kutukana.
 
Ni muhimu kwa wanachi kujua kwaza alaf tukienda mahakamani napo mambo yana mwagwa!

Ni vizuri watu wakajua kinacho endelea mapema maana watu hawata pata habari za mahakamani kwa kina namna hii!

Ruttashobolwa, I remind you once more: CHADEMA si chama makini.
 
Ndio maana umeambiwa wako makini ten times better!
Ni suala la muda....hayo uliyouliza walishajipanga kukabiliana nayo...
Ushahidi hawajautoa...ushahidi ni maneno yaliyomo kwenye mawasiliano.

Hiyo ni kutafuta public sympathy tu kijana zinduka. Wanasiasa watawachezea mpaka basi!
 



tulia.....vuta pumzi.....shusha mapigo yako ya moyo....then sema ulichotaka kusema ili ueleweke. Sio unaongea km unakimbizwa
 
Hivi Mwigulu, Ludo, Msaky wapo usalama wa taifa? Kama sio usalama inakuwaje watu wa usalama kufanya mission na watu ambao hawako kwenye kampuni? Hivi kweli usalama ndio wanafremu picha ya kijinga namna hii, mbona Ludo alikuwa hana cover yoyote, mi nadhani Mwigulu badala ya kujenga Chama chao ndio anakibomoa kabisa
 
Mkuu,

Kucheza na hizo taarifa bila kuacha traces siyo rahisi hivyo.

Hayo maneno aliyasema DR Slaa siku moja baada ya Lwakatare kukamatwa. Kilichofuata baadae si ulikiona? Jamaa anakula bata tu gerezani.

Wanachowafanyia CCM ni kuwa keep busy, mnajiona mmeraba dume kumbe garasa!

CHADEMA sio chama makini.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…