Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Status
Not open for further replies.
this is what i call ''forensic investigation'' huwezi kupingana na facts,mkuu mzee mwanakijiji nasubiri busara zako
 
Naomba kamanda Maxence Melo na Invisible nipate muongozo juu la haya maneno kwenye hili tamko la chama changu....
Mkuu hata mimi nimeomba mwongozo katika hili huko juu! Tunaomba watueleze ni kigogo gani huyu?
 
Mwigulu Nchemba (CCM), ambaye alianza kwa kuwatuhumu viongozi wa Chadema, kuwa wamekuwa wakipanga kuua watu na wakati huo huo wakitaka wananchi wawape ridhaa ya kuongoza nchi.
 
Kuhusu Msacky -- Kulikuwapo thread moja humu kama wiki moja iliyopita iliyomtaka Tido Muhando amhoji na kumsimamisha kazi Msacky kutokana na kutajwa sana katika sakata hili.

yeye Msacky awali alitajwa kama ni mmoja wa wale ambao wanatajwa katika video ya Lwakatare kwamba atadhuriwa -- ingawa sasa naona hii does not make sense. Mtu anayetarajiwa kudhuriwa na Ludovick wamekuwa wanawasiliana mara kadha!

Kwa upande mwingine mie namfahamu sana Msacky -- ni mtu ambaye hujipendekeza sana kwa CCM hivyo anweza kutumika katika sakata hili.

TIDO -- linda heshima yako -- msimamishe kwanza Msacky!

Tusisahau pia media house ya Mwananchi iliwahi kuingia katika kashfa mwaka 2005 katika mchakato wa CCM wa kuteua mgombea wa urais. Waandishi Muhingo na Said Nguba walifukuzwa kazi. Hivyo sioni ajabu kwa hili kutokea tena.
 
mwanzo mpaka mwisho nasoma uku nikilia sanaaaa na mpaka sasa naendelea kulia tuuuuuuuuu

Mungu bariki tanzania
mungu bariki chadema
Pole sana mkuu, hakika hata mimi nimesoma kwa huzuni sana na bbada ya kumaliza nikajiuliza mimi natoa mchango katika mapambano haya jibu ni moja niaendelea kukiwezesha chama changu ili wanaoifanya kazi hii njema wazidi kuifanya....
 
Wale wanaofikiri hakuna Mungu, ni wakati wao wa kujua kwamba Mungu yupo na kwamba anawatumia watu katika matukio ndani ya sayari hii ya dunia.

Genge hili la manyang'au walioamua kwa upunguani wao kuondoa amani ya nchi kwa visa vya kupikwa vikihusisha damu za wasio hatia hawatavumilika tena. Mwigulu tulimuona tokea mbali na tulitambua kwamba yuko sambamba na mwana mfalme riz1 tokea hata wakati ule wa mtambo wa sms. Watu wameuawa uchaguzi wa Igunga, Arumeru, na huko Singida kwa maelekezo ya Punguani Mwigulu akijiaminisha kwamba ana ulinzi wa mwana mfalme na wanaojiita usalama wa Taifa.

Mungu ni zaidi ya hilo tumaini lako na ni wakati sasa wa nguvu za Mungu kudhihirika Tanzania kwamba anatawala juu ya wafalme wote mbinguni na Duniani. Ee Mungu usiurudishe mkono wako nyuma hata umewakomboa maskini hawa wa Tanzania na hawa vifyonza damu.

CHADEMA TUPO NYUMA YENU KUONA AMANI YA NCHI IKIRUDISHWA.
 
na kuongezea -- na kwa taarifa kwa wengine ni kwamba bila shaka cdm wanazo taarifa kamili za mawasiliano yote hayo ya simu. Wanawatega tu ccm na vodacom! Mark my words!

Yes -- ccm wameshikwa pabaya -- chezea cdm wewe!

ndio hivyo mkuu, chadema wanazo details zote za mawasiliano, hapo wanachotaka ni ku cross check tu!
 
Mwigulu Alisema kuwa viongozi wa CHADEMA, wamekuwa wa kwanza kulalamika juu ya vitendo vyao na kwamba tabia hiyo ni sawa na mchawi ambaye akiroga mtu na kumuua, anakuwa wa kwanza kulia akionyesha uchungu alionao juu ya marehemu.
 
CCM wako makini kwa mambo ya kiungebe kama haya, wangelikuwa na jitihada kama hizi kweny maendelep tucngelikuwa hapa tulipo,

(ee mola wasambaratishe haya magamba kama ulivyowasambaratisha maadui wa wana wa Israeli ktk bahari ya shamu kupitia tamko la Musa, naamini hutaruhusu kuteseka na kuuawa kw binadamu ulowaumba wewe kiasi ichi)

Asante kwa kuliona hilo. Unasema kweli. Madudu ya CCM kila mahali.
 
I'm Speechless!.
Ila pia tumepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo ya kimawasiliano na kisheria, ambapo mawasiliano ya simu binafsi za watu ambayo ni siri, na yamepatikana kinyume cha sheria, yanapowekwa wazi kwa waandishi wa habari pamoja na namba za simu!, haya ni maendeleo makubwa sana kimawasiliano!.

Kwenye bold, ina maana huna mpya maana ushajiwekea kinga! being speechless ilikuwa inatosha!
 
MWIGULU UPOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.Ngebe zitakuisha tu.Hiyo ndiyo CDM mwendo mdundo
 
Mheshimiwa Spika, kuna jambo ambalo limekuwa likiandikwa na kulalamikiwa na watu, kwamba ugaidi ugaidi. Katika jambo hili nawaomba Watanzania wasikilize kwa makini, kuna jambo lilitokea na jambo hili ni jambo la kigaidi, limeandikwa sana na kwa masikitiko linapotoshwa, yaani watu wanapotosha mpaka mambo yanayohusu maisha ya watu.

"Eti wanasema usalama wa taifa, mara wanasema polisi wanatesa watu, katika hili wala msihangaike na kwenye jambo hili hakuna polisi wala usalama wa taifa. Jambo la mkanda, aliyerekodi huo mkanda yuko tayari kusema kokote, aliyeniletea huo mkanda yuko tayari kusema kokote na mimi niko tayari kwenda kokote hata kama ni mbinguni.

"Chadema walipanga kuteka na kuua na huyu mwandishi walipanga kumuua eti wanadai picha ilitengenezwa, sasa kwa taarifa yenu hata pale alipokuwa anaongea, (akimaanisha Lwakatare), aliandika hata ile karatasi ninayo, ni hii hapa, fingerprint ni ya kwake, mwandiko ni wa kwake na vyote alivyokuwa anafanyia kazi vimepatikana na alisema atatoa ushahidi na mimi niko tayari kutoa ushahidi kokote iwe ni hapa na hata mbinguni nitakwenda," alisema Mwigulu akionyesha karatasi hiyo na kuongeza.

"Eti Mbowe (Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe), anasema anayewasiliana na gaidi eti naye aunganishwe na ugaidi, hebu fikirieni, yule aliyekuwa akipanga njama ni Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, kama ni viongozi, amewasiliana na viongozi gani kama siyo wakubwa zake ambao wamemwagiza kufanya hayo?

 
Siku zote akili pevu ''i mean conscious mind paves the way of solving the problems''
people with 'dead mind like mwigulu and his part ccm they never think kama wataumbuka siku moja....let chadema proceeds with their credibility and that's what we need to hear always ..
 
Kwann chadema wanapenda kuzungumzia mambo yaliyopo mahakamani...ni kujaribu kupreempty mahakama iwapendelee kwenye maamuzi..

Waulize na hao wahusika kwa nini waliweka mkanda mtandaoni? Kisha muulize Mwigulu kwa nini anazungumzia taarifa za polisi kwa majibu ya watuhumiwa mahabusu? then come again!
 
Walijuaje kama izo siku ao watu walikuwa wanawasiliana? Najua datas wanazo tayari ndio maana wanajeuri ya kiongea ivyo.tungoje itakuwaje ila ni hatati sana jamani.kwann wasingekubali wazo la mwanakijiji kufuta kesi yaishe.
 
Ni muhimu kwa wanachi kujua kwaza alaf tukienda mahakamani napo mambo yana mwagwa!

Ni vizuri watu wakajua kinacho endelea mapema maana watu hawata pata habari za mahakamani kwa kina namna hii!

Hiki mbona kinaonekana kama kichekesho cha mwaka!

Yaani wakili ana ushahidi tena mzito halafu anaitisha press badala ya kuupeleka mahakamani! Ajabu.

Swali jepesi na kitendawili kizito kwa CHADEMA, je Lwakatare yale maneno katika ule mkanda aliyasema?

Kama Lwaka akikubali zile njama, hizo namba za simu ni useless kwa vile mtuhumiwa amepatikana na hatia ya kula njama za kuteka.

Labda CHADEMA ifungue kesi nyingine ya kupinga maafisa usalama wa taifa kuwasiliana na watu wengine nje ya usalama!

Hizo kumbukumbu wataalamu wanaweza wakacheza nazo halafu mkafunguliwa kesi ya kughushi taarifa za uongo.
 
Nimelisoma tamko hadi nimesisimka! Kama hayo aliyo yasema Marando ni kweli na iliyo kweli tupu basi nachelea kusema kuwa taifa letu haliko kwenye mikono salama hata kidogo! Wenzetu mataifa mengine wanazitumia siasa kwa ajili ya ustawi wa nchi sisi tunaitumia siasa kufanya uharamia na ugaidi wa kupanga.

Naomba niweke hakiba ya maneno kwa kusema, ukweli huwa una tabia ya kukawia kufika lakini huwa hauachi kufika uliko kusudiwa kufika.

CC chama, Ritz, ZeMarcopolo zumbemkuu Elli.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom