Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
Tuliwaeleza kuwa chadema ina intelijensia kali kuliko tiss.
Sasa ccm tafuteni mchawi wenu.
Sasa ccm tafuteni mchawi wenu.
Main ishu ni hizo kumbukumbu za kwenye mitandao ya simu....nashauri cdm watumie ushushushu wao kuzipata mapema.
Wafanyakazi wa voda, tigo , airtel ambao ni wazalendo mtusaidie ili taifa lipone.
Kuna ID moja imeanzisha uzi kama comment yako! Una ID ngapi Mkuu naona unatumikishwa kama punda!
nashangaa unawachukia wazee sijui wewe wazazi wako ni vijana wote?
mkuu umenichekesha kweli.....rukaruka ya kufa nadhani iko tofauti kidogo, mfano ni kama hii ya chadema...waambieni watulie wapeleke ushahidi mahakamani
Njaa ndo chanzo cha unafki wake
speechless bt ametoa speech ndefu sana inakuaje?
Wana kazi kweli kweli, naona na facebook wamejaa hivyo hivyo lakini wapi bwana. Kivumbi wanachokutana nacho huko ni cha kufa mtu. Naamini hivi sasa hata na wale vijana waliokubali kutumika na CCM ie PM7 watakuwa wanajuta, maana ukweli upo dhahiri kwamba CCM haina chake tena.Njaa inamsumbua huyu!!! Wamemwagwa kwa wingi hapa jamvini na kufungua account kwa kutumia IDs chungu nzima ili waliteke jamvi kwa kuandika -----/pumba wao/zao kuhusu CHADEMA lakini juhudi zao za kuliteka jamvi zimegonga mwamba.
Chadema inaelekea kusambaratika. It's time tu
Mhhh aiseee kama zimedakwa nadhani sasa hakuna pa kukimbilia!
Daaaa hakika kumekucha lazima mbaya ajulikane! Chadema chama kikubwa!
Nikuhakikishie tu to ur surprise badala ya hayo mabomu kulipukia CDM yatalipukia yalikotengenezewa na kuwaangamiza waliyo yatega. CDM itapita bila kujua what happened watch and see...Says the mighty one of Israe!
Tayari mtu waliom-tagarte amechomoka na wanashangaa what happened!
Hii ni garika lazima mtakiri kwa ndimi zenu kuwa Mungu yu hai!
Nawashangaa magaidi kurukaruka Maana hizi mbwe mbwe kwenye Tamko haziondoi ukweli wa Yale yaliyopo kwenye video ya lwakatare. Marando angetuambia Yale anayoongea lwakatare Sio kweli Tamko lake lingekuwa na maana
Cdm sasa imeonyesha dhairi ili suala la lwakatare linawachanganya kichwa
.siku ya mwanzo tumemsika DR Slaa akiweweseka sana kuhusu swala hili leo tunamsikia Mabere Marando tena anafuata huko huko inaonyesha dhairi swala hili lina ukweli ndani yake, maana amejaribu kuandika no za watu na majina ya watu akiwashutumu kushiriki suala hili wakati tukitambua kuwa majina na no za watu sio siri kila mtu anaweza kuwa nayo na kuwasiliana amefanya hivi ili wananchi waamini kuwa cdm wanaonewa kama yeye na wenzake ni wanasheria wazuri kwanini wanakimbilia kwa wana habari ili wawasafishe kwa uma
.Kwa video ni dhairi kwamba Lwakatare kausika hakuna editing yeyote kwani kila mtu sasa anaupeo mzuri wa kufikiri na kutafakari jambo; kwanini muweweseke kama mmesingiziwa
CHADEMA ACHENI KUWAFANYA WATANANIA KUWA NI WAJINGA KILA OVU MNALAFANYA MNATAKA WATANAZANIA WAJUE KUWA MMEONEWA KWA HILI HATUKO TAYARI KUAWAUNGA MKONO
Yaani katika vitu ninavyomuadmire kiasi kwamba l wish ningekuwa navyo kimoja wapo ni 'kukosa haya'; jamaa hana haya kabisa wala haoni ubaya, maana some of us tunashindwa ku-dare kusupport au kufanya ujinga kwa 'haya' tulizoumbwa nazo!