Hiki mbona kinaonekana kama kichekesho cha mwaka!
Yaani wakili ana ushahidi tena mzito halafu anaitisha press badala ya kuupeleka mahakamani! Ajabu.
Swali jepesi na kitendawili kizito kwa CHADEMA, je Lwakatare yale maneno katika ule mkanda aliyasema?
Kama Lwaka akikubali zile njama, hizo namba za simu ni useless kwa vile mtuhumiwa amepatikana na hatia ya kula njama za kuteka.
Labda CHADEMA ifungue kesi nyingine ya kupinga maafisa usalama wa taifa kuwasiliana na watu wengine nje ya usalama!
Hizo kumbukumbu wataalamu wanaweza wakacheza nazo halafu mkafunguliwa kesi ya kughushi taarifa za uongo.
mtaongea yote safari hii.