utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Kulia kirahisi ni Tabia ya Waziri mkuu....
sasa na wewe umetokea wapi si tunaongea habari ya tamko la cdm na cd ya lwakatare umeibuka na mambo ya pm he we vp kwani wakuja humu jf
Kulia kirahisi ni Tabia ya Waziri mkuu....
Hiki mbona kinaonekana kama kichekesho cha mwaka!
Yaani wakili ana ushahidi tena mzito halafu anaitisha press badala ya kuupeleka mahakamani! Ajabu.
Swali jepesi na kitendawili kizito kwa CHADEMA, je Lwakatare yale maneno katika ule mkanda aliyasema?
Kama Lwaka akikubali zile njama, hizo namba za simu ni useless kwa vile mtuhumiwa amepatikana na hatia ya kula njama za kuteka.
Labda CHADEMA ifungue kesi nyingine ya kupinga maafisa usalama wa taifa kuwasiliana na watu wengine nje ya usalama!
Hizo kumbukumbu wataalamu wanaweza wakacheza nazo halafu mkafunguliwa kesi ya kughushi taarifa za uongo.
mzee safari awe mpole tu mahakama zetu najua ziko makini ukweli utajulikana tu,pia kama safari anaimani na ushahidi wake apeleke mahakamani kesho.
chdm wanawaita ccm magaidi na ccm wanaita cdm magaidi,nana zaidi?
sasa na wewe umetokea wapi si tunaongea habari ya tamko la cdm na cd ya lwakatare umeibuka na mambo ya pm he we vp kwani wakuja humu jf
Nilishasema wewe ni kigeugeu tuu huna jipya! Naona umekuja na sarakasi nyingine! Hahahahahaha
Yaani katika vitu ninavyomuadmire kiasi kwamba l wish ningekuwa navyo kimoja wapo ni 'kukosa haya'; jamaa hana haya kabisa wala haoni ubaya, maana some of us tunashindwa ku-dare kusupport au kufanya ujinga kwa 'haya' tulizoumbwa nazo!
Cdm sasa imeonyesha dhairi ili suala la lwakatare linawachanganya kichwa
.siku ya mwanzo tumemsika DR Slaa akiweweseka sana kuhusu swala hili leo tunamsikia Mabere Marando tena anafuata huko huko inaonyesha dhairi swala hili lina ukweli ndani yake, maana amejaribu kuandika no za watu na majina ya watu akiwashutumu kushiriki suala hili wakati tukitambua kuwa majina na no za watu sio siri kila mtu anaweza kuwa nayo na kuwasiliana amefanya hivi ili wananchi waamini kuwa cdm wanaonewa kama yeye na wenzake ni wanasheria wazuri kwanini wanakimbilia kwa wana habari ili wawasafishe kwa uma
.Kwa video ni dhairi kwamba Lwakatare kausika hakuna editing yeyote kwani kila mtu sasa anaupeo mzuri wa kufikiri na kutafakari jambo; kwanini muweweseke kama mmesingiziwa
CHADEMA ACHENI KUWAFANYA WATANANIA KUWA NI WAJINGA KILA OVU MNALAFANYA MNATAKA WATANAZANIA WAJUE KUWA MMEONEWA KWA HILI HATUKO TAYARI KUAWAUNGA MKONO
Yaani katika vitu ninavyomuadmire kiasi kwamba l wish ningekuwa navyo kimoja wapo ni 'kukosa haya'; jamaa hana haya kabisa wala haoni ubaya, maana some of us tunashindwa ku-dare kusupport au kufanya ujinga kwa 'haya' tulizoumbwa nazo!
Inaonekana wewe ndiyo hujasoma between lines. Lakini kwa tuliyesoma between lines tumeona kabisa imeelezwa kwamba vifaa vya kazi vya michuzi ndiyo vilivyotumika kwenye editing ya ile video. So ni dhahiri kwamba utaalamu wa hali ya juu ulitumiwa na akina michuzi kubadilisha maneno ya Lwakatare na kuweka ya kwao. Katika hali ya kawaida Lwakatare asingekuwa mwehu apange hujuma kubwa kama zile mahali pa wazi vile.Mkuu Artorius, kama una uwezo to read in between the lines, authenticity ya video hapa haijazungumziwa tena!. Wameisha jiridhisha it is "bonafide genuine!" kitachotafutwa sasa ni kumnasua tuu Rwakatare kwa kujenga hoja mchezo mzima ulikuwa ni mtego wa TISS, wakimaanisha Ludo, Msaki, Mchemba na vijana wao lao ni moja, Rwaka ndio oddman out!.
Pasco.
Chadema inaelekea kusambaratika. It's time tu
huna haya wala hujisikii vibaya kutetea maovu, ninyi ndio mnaweza kutoa kafara watoto wenu kwa ajili ya pesa, shame on you bungeniHaya maelezo meeeeengi hayaondoi content ya video ya lwakatare
Kuna ID moja imeanzisha uzi kama comment yako! Una ID ngapi Mkuu naona unatumikishwa kama punda!Cdm sasa imeonyesha dhairi ili suala la lwakatare linawachanganya kichwa
.siku ya mwanzo tumemsika DR Slaa akiweweseka sana kuhusu swala hili leo tunamsikia Mabere Marando tena anafuata huko huko inaonyesha dhairi swala hili lina ukweli ndani yake, maana amejaribu kuandika no za watu na majina ya watu akiwashutumu kushiriki suala hili wakati tukitambua kuwa majina na no za watu sio siri kila mtu anaweza kuwa nayo na kuwasiliana amefanya hivi ili wananchi waamini kuwa cdm wanaonewa kama yeye na wenzake ni wanasheria wazuri kwanini wanakimbilia kwa wana habari ili wawasafishe kwa uma
.Kwa video ni dhairi kwamba Lwakatare kausika hakuna editing yeyote kwani kila mtu sasa anaupeo mzuri wa kufikiri na kutafakari jambo; kwanini muweweseke kama mmesingiziwa
CHADEMA ACHENI KUWAFANYA WATANANIA KUWA NI WAJINGA KILA OVU MNALAFANYA MNATAKA WATANAZANIA WAJUE KUWA MMEONEWA KWA HILI HATUKO TAYARI KUAWAUNGA MKONO
Mkuu Artorius, kama una uwezo to read in between the lines, authenticity ya video hapa haijazungumziwa tena!. Wameisha jiridhisha it is "bonafide genuine!" kitachotafutwa sasa ni kumnasua tuu Rwakatare kwa kujenga hoja mchezo mzima ulikuwa ni mtego wa TISS, wakimaanisha Ludo, Msaki, Mchemba na vijana wao lao ni moja, Rwaka ndio oddman out!.
Pasco.