Kama kuna kosa kubwa mahakama ya nchi itafanya ni kutokiadhibu chadema kutokana na haya makosa wanayoendelea kuyafanya tena kwa makusudi ya kuendelea kuropoka katika mambo ambayo wana forum ya kuyazungumza. Ccm chonde msireact maana hawa jamaa wanafanya hayo kwa makusudi na malengo maalumu