hata huyo LWaka ni haohao TISS, kinachofanyika hapa ni counter-punching tu
CHADEMA naona wamebana kende za Lwaka huku wanamkumbatia, akiinama-akiinuka ngoma iko vilevile tight
Hii kitu imeshakaa vibaya kwa system, maana hata Lwaka alikua akitegemea kutimiza wajibu basi kazi inakua ngumu sana
Naamini (sikua naamini hivyo hapo awali) kwamba kumtosa Lwaka kungeidhoofisha zaidi hoja ya chadema kwamba TISS ndio playmakers na Zitto ni weakest link
He is a smart boy, atabaki chadema lakini skeletons zote zitakua zimeisha by them time anakabidhiwa madaraka ya maana
Hahahaaa. Hapo tiss wanahusikaje. Tatizo kubwa tulilonalo watanzania ni kuamini kila kito wanachokisema tuwapendao hata kama hakina ukweli ndani yake