Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
kabisa mkuu ila hapa nona wasira na Nape wamechanganya na za kwao!
Ni kweli. Mwigulu ana hali mbaya sana. Atajuta kwenda kujifunza uzalendo
kabisa mkuu ila hapa nona wasira na Nape wamechanganya na za kwao!
Mkuu mimi nilikuelewa tangu mwanzo. Unachokisema ni kuwa ile video haijachakachuliwa kama wengine wanavyosema sura sio ya lwakatare na sauti imechomekewa kisayansi lakini tukio halikuwepo. Wewe unachokisema ni kuwa video ile ilirekodiwa kweli na Lwakatare alijua anarekodiwa ila 'mazingaombwe' yaliyopelekea Lwakatare arekodiwe and the motive behind ndio hutaki kujishughulisha nayo...Washwa Washwa, usi washwe washwe!, ingekuwa mahakama inafanya kazi kwa kusoma jf, then ni kweli ningeitwa kama "amicus curiae" kufafanua kwa nini nilisema ile video ni "bonafide genuine!". It is "bonafide genuine!" hapo ndipo niliposimama!. Kila siku nasema humu, sasa naugeuza ni wimbo!, kuwa "bonafide genuine!" haimaanishi mkanda huo ndio ushahidi wa jinai husika!.Pasco.
only if mahakama zetu zisingekuwa corrupt as they are, mchezo ulikuwa umeisha.
mahakama iliyobaki ni ya watu tu, big up makamanda kwa kulifikisha hili kwa mahakama ya umma.
Hapa JF hii namba anayetumia simu Na. 255756xxxxx imekuwa hided lakini kwenye Chadema Blog: TAMKO LA CHADEMA KUHUSU NJAMA ZA KUKICHAFUA ZINAZOFANYWA NA GENGE LA VIONGOZI WAKUU WA CCM NA VYOMBO VYA DOLA, LIMETOLEWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO, APRILI 14, 2013 NA MJUMBE WA KAMATI KUU NA MWANASHERIA WA CHAMA, MH. MABERE NYAUCHO MARA , namba yenyewe ni hii hapa (anayetumia simu Na. 255756809535) kwa kutumia M-PESA inaonekana namba hii imesajiliwa kwa JINA LA ZITTO ZUBERI hii imeakaaje?
Kule kwa Wanabidii namba za simu zimewekwa kama zilivyo.Mkuu bluetooth,
Nilichoweka ndicho CHADEMA walichosoma. Nimewaomba mods wazingatie ethics za uandishi, wanisaidie kuondoa # za simu
[Re: Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013![]()
By mbara![]()
![]()
Hapa JF hii namba anayetumia simu Na. 255756xxxxx imekuwa hided lakini kwenye Chadema Blog: TAMKO LA CHADEMA KUHUSU NJAMA ZA KUKICHAFUA ZINAZOFANYWA NA GENGE LA VIONGOZI WAKUU WA CCM NA VYOMBO VYA DOLA, LIMETOLEWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO, APRILI 14, 2013 NA MJUMBE WA KAMATI KUU NA MWANASHERIA WA CHAMA, MH. MABERE NYAUCHO MARA , namba yenyewe ni hii hapa (anayetumia simu Na. 255756809535) kwa kutumia M-PESA inaonekana namba hii imesajiliwa kwa jina gani hii imeakaaje?
Mohamedi Mtoi na Edwin Mtei hii namba mmeifanyia kazi?]
Hakuna kumumunya maneno. Hii namba +255 756 809 535 ni ya Zitto Zuberi Kabwe. Mmoja wa washiriki wakuu wa mpango wa kukiua CHADEMA !
Kwani ni nani asiyejua hili ? mawasiliano yake na Bwana Msaky wa Mwananchi na pia Usalama wa taifa mbona ulishawekwa wazi siku nyingi ???
Kumbuka : Kikulacho kii nguoni mwako.
Mtu akikaribia kufa lazima arushe rushe miguu. Chadema inarusha rusha miguu
"BONAFIDE GENUINE", "BONafide genUINE",Pasco atakujibu....... 'bonafide genuine' ....
mmmh! mkuu hiyo namba ina utata!Mohamedi Mtoi na Edwin Mtei hii namba mmeifanyia kazi?