Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Status
Not open for further replies.
Chadema inaelekea kusambaratika. It's time tu



kwa staili hii, fikra zako zimekengeuka, tena vibaya mno. Wahusika wakuu wameelewa na wanajua viatu walivovaa vinavowabana kwa taarifa hii.

Hakuna muhusika mkuu yeyote aletajwa hapo juu, atayechukulia jambo hili kwa uzito uliochukulia wewe.

Ni suala la mda tu. Mtatafuta kwa kuficha sura zenu
 
Upuuzi unao wewe tamko ni uhalisia wa suala lenyewe. Kwakua baba yako ni Muchemba ulitaka cdm ikae kimya? Wewe ni non sense. Suala hili ni suala la kitaifa ndio maana mlipomuangamiza ulimboka mkakaa kimya kwakua mlijua mmefanya nini, na leo kibanda na sasa mnaendeleza matukio ya kupakaziana kesi mnataka watu wake kimya????? Ipo siku majini na mashetaji yenu yote yatakili kuwa yupo Mungu na kweli itashinda. ''Itafuteni sana kweli nayo kweli itawawekeni huru''
 
Mkuu Artorius, kama una uwezo to read in between the lines, authenticity ya video hapa haijazungumziwa tena!. Wameisha jiridhisha it is "bonafide genuine!" kitachotafutwa sasa ni kumnasua tuu Rwakatare kwa kujenga hoja mchezo mzima ulikuwa ni mtego wa TISS, wakimaanisha Ludo, Msaki, Mchemba na vijana wao lao ni moja, Rwaka ndio oddman out!.
Pasco.

Pasco ukianbalia yema ile video inaonyesha kuwa hata aliyekuwa anarekofiwa alijua dhairi kuwa anarekofiwa. Kwahiyo suala la authenticity si la muhimu bali tu yawezekana kwamba final product ikawa tofauti na iliyorekodiwa. Je yawezekana ni makundi ndani ya hivi vyama katika mcvhezo wa kujitanabaisha kuelekea 2015? Au umeshafikiria pia kwamba CHADEMA wameiingiza CCM katika mtego huu bila kujijua?
 
Kaunga wasio mjua pasco wanaweza kuangaika sana! Yani leo kanichekesha sana kwa sarakasi zake! Kule kwenye uzi wa kushikwa kwa maggid alinichekesha sana eti anasema alikwenda kuhojiwa tuu na ataachiwa tuu lakini ajui kwa nini alipewa sharti la kuwekewa dhamana!

hata nami niliinotice ile kitu, he should just SHUT UP kwani hata ile respect kidogo aliyobaki nayo inayeyuka; namimi bwana as if nimesahau kuwa mshipa wa haya hana huyu kiumbe.
 
Mohamedi Mtoi
Nadhani mnajitahidi sana kutafuta mchawi; kwanza mlidai video ni fake; baada ya kupata uhalisia wa video mnataka kuipaka matope serikali; kinachomuweka kitanzini Lwakatare ni maneno/kauli yake mwenyewe yeye alikuwa akitoa maelekezo namna ya kufanya uharamia; sasa serikali inahusika vipi? Nadhani umesahau kitu hiki “law abide citizen” raia mmoja anayeitakia mema nchi hii ndiye aliyemnasa Lwakatare na ndiye aliyetoa taarifa kwa vyombo husika; Lwakatare ni mhalifu sioni unachotetea.
Chama
 
Last edited by a moderator:
Upuuzi tu! CHADEMA acheni kuweweseka, ukweli wote utajulikana mahakamani.

Kama mna uhakika hamna hatia kwanini mnaweweseka hivyo? Tulieni.

Tumechoshwa na matamko yenu ya kipuuzi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums[/QUOTE

Halafu marando namshangaa sana. Anasema wanaenda kuomba amri ya mahakama ili wachunguze mawasiliano ya namba za simu wakati wao tayari wamefanya hivyo bila hata ya amri ya mahakama. Je huko si kuingilia privacy ya mtu ingawa nina hakika kuwa walichokifanya ni kutafuta namba za simu za watu hao na kutengeneza story
 
inaonekana wewe ndiyo hujasoma between lines. Lakini kwa tuliyesoma between lines tumeona kabisa imeelezwa kwamba vifaa vya kazi vya michuzi ndiyo vilivyotumika kwenye editing ya ile video. So ni dhahiri kwamba utaalamu wa hali ya juu ulitumiwa na akina michuzi kubadilisha maneno ya lwakatare na kuweka ya kwao. Katika hali ya kawaida lwakatare asingekuwa mwehu apange hujuma kubwa kama zile mahali pa wazi vile.

Na zaidi ya yote, mwigulu anasema anaushahidi wa maandishi na mwandiko. Huu ndiyo ushahidi hovyo kabisa. Mimi nilipokuwa sekondary nilikuwa naweza kuiga mwandiko wa kila mtu, nilikuwa naigiza miandiko ya mabinti na kuwaandikia barua wanaume wakware nikijifanya ni binti fulani ameandika. Na sikuwahi kukosea katika hilo. Ni suala la practice ya dk tano tu. Watu wanaiga sahihi na inatoka kama ilivyo, utakuwa mwandiko?

Ngoja tusubiri ushahidi utakaopelekwa mahakamani, naona serikali ya kikwete imekamatwa pabaya.
lukolo na chadema kama watashinda hii kesi huenda huu utakuwa mwisho wa movie za ccm kupoteza malengo ya wtz kujadili mambo ya msingi.
 
Kama kuna kosa kubwa CCM wanafanya ni kupuuzia nguvu na uwezo wa Chadema na mwamko wa wananchi ulipofikia.wanafikiri ni rahisi kumanipulate watu kwa njia nyepesi kama zamani!huu ni mtego mbaya sana kwao.hawajaamka usingizini na kugundua Tanzania ya leo sio ile ya Nyerere na Mwinyi!hii inatokana na kufanya kazi kwa mazoea.inawagharimu na itawagharimu sana.no way to help them, hata siku Goliath alipokufa alifanya negligence iliyopitiliza.alipoona ametumiwa "katoto" aliamua kuvua kofia kabisa kwa dharau,na jiwe la Daudi likatua pale pale kwenye paji la uso!
 
chadema kila wiki wana tamko last week ilikuwa iringa wik hii marando may be wiki ijayo mushumbuzi kimekuwa chama cha matamko,maandamano.ugaidi,sumu,ukabila,ukanda bila kusahau propaganda badala ya hoja mbadala kwa ccm



mtatoka tu mapangoni mlikojificha. Endelea kubeza.
 
Wewe huionee huruma cdm kwa lipi? Lizi 1 atakupaje posho kama utaionea huruma chadema? Kumbe angetoa mahakamani ushahisi si ungeanza na baba yako mdogo mwigulula aliyeanza kulalama kule mjengoni? Kumbe akili yako haina akili,alafu unaonekana unasahau sahau kirahisi rahisi sana
 
lukolo na chadema kama watashinda hii kesi huenda huu utakuwa mwisho wa movie za ccm kupoteza malengo ya wtz kujadili mambo ya msingi.
Nasikia bado wana nyingine ambayo wameiandaa ya jaribio la CHADEMA kumpindua Kikwete. Na wanasema na yenyewe wataicheza mwezi wa kumi na mbili mwaka huu. Ni katika harakati ya kutafuta sababu ya kukifuta CHADEMA. Maana Tendwa ni mtu wao, ataibuka tu na kutangaza kwamba amekifuta chadema kwa kuwa ni chama cha kigaidi or kinafanya mipango ya kuipindua serikali.
 
Ni jana tu niliweka uzi, Kati ya Chadema, CCM na Bunge, nani ameingilia uhuru wa mahakama. Kwa haya matamko ya chadema ni wazi kuwa wao ndiyo wanaingilia uhuru wa mahakama na wanafanya hivyo kwa makusudi ili kutafuta huruma za wananchi na kutaka ccm wareact
,
 
Mkuu ingekua vizuri ikaihurumia taifa lako Tz maana njama zote hizi za kuangamiza chadema zina lengo la kuendelea juihujumu taifa kupitia wizi wa rasimali za taifa na kuendelea kuwafanya watanzania maskini wa kutupwa huku watu wachache wakiendelea kutajirijika12 jambo ambalo mwisho wake huenda ikazua vita kali kati ya walionacho na waliochoka na tukufika huko siyo chadema itakua imekufa bali taifa la Tanzania ndiyo itakua imeangamia. watanzania tuhurumie taifa letu kwa kuikataa hiki chama kinachozidi kututia umaskini badala ya kuihurumia chadema, chadema na ccm kama vyama vinaweza kufa akini tz kama taifa is there to stay.
ni kweli kabisa ndugu kama ccm haitaondolewa mapema madarakani,taifa linaangamia mchana kweupe halafu wenzetu wanachukua uraia wa nchi nyingine wanakopeleka mali za umma,matendo ya ccm hata shetani atawakana ndg,tuombe Mungu na tuungane kuiondoa ccm kwa njia yoyote iwayo.
 
Pasco ukianbalia yema ile video inaonyesha kuwa hata aliyekuwa anarekofiwa alijua dhairi kuwa anarekofiwa. Kwahiyo suala la authenticity si la muhimu bali tu yawezekana kwamba final product ikawa tofauti na iliyorekodiwa. Je yawezekana ni makundi ndani ya hivi vyama katika mcvhezo wa kujitanabaisha kuelekea 2015? Au umeshafikiria pia kwamba CHADEMA wameiingiza CCM katika mtego huu bila kujijua?
hata huyo LWaka ni haohao TISS, kinachofanyika hapa ni counter-punching tu

CHADEMA naona wamebana kende za Lwaka huku wanamkumbatia, akiinama-akiinuka ngoma iko vilevile tight

Hii kitu imeshakaa vibaya kwa system, maana hata Lwaka alikua akitegemea kutimiza wajibu basi kazi inakua ngumu sana

Naamini (sikua naamini hivyo hapo awali) kwamba kumtosa Lwaka kungeidhoofisha zaidi hoja ya chadema kwamba TISS ndio playmakers na Zitto ni weakest link

He is a smart boy, atabaki chadema lakini skeletons zote zitakua zimeisha by them time anakabidhiwa madaraka ya maana
 
Kumekucha...Mwili mzima umetetemeka...!


Naaaam mkuu. Kumekucha na makucha yake. Naamini km nipo kwenye chama makini sana, CHADEMA. Nitakuwa mtu wa mwisho kuondoa imani kwa chama hiki.
 
chadema kila wiki wana tamko last week ilikuwa iringa wik hii marando may be wiki ijayo mushumbuzi kimekuwa chama cha matamko,maandamano.ugaidi,sumu,ukabila,ukanda bila kusahau propaganda badala ya hoja mbadala kwa ccm

shukuru mungu uko mbali. Ungekuwa karibu ningekutwanga CHUMA, Nilikuwa natoa bastola kumbe niko kwenye kioo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom