mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,042
Kumbe una degree ya education na wwIfahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015. Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
Hapana!! Ni typing error kwenye title ya uzi. Badala ya "itatoka" nikaandika kwa makosa "nitatoka" Naomba moderators wasaidie kurekebisha title isomeke "...........ni lini selection ya ajira kwenye sekta ya afya na elimu itaoka?"Kumbe una degree ya education na ww
Asante kwa kuniita babu wala haujakosea kwa hapo!! Ila ulipokosea ni kudhani na mimi natafuta ajira!! mimi ni afisa mstaafu kwenye utumishi wa umma!!Babu una motoooo, kimsingi usizitegemee sana badala yake angalia plan b ya kukuvusha,ukizitegemea sana alafu ukakosa utakuwa disappointed sana. Ikitokea umepata sema Asante Mungu na ata ukikosa pia shukuru na songa mbele with your life.
Nikuulize: Je ni vibaya wakisema selection itatoka lini au ni vizuri?Ila watu mnajifanya mna haraka kwani huwa mchakato si huwa unachukua miezi miwili na mara nyingi inakuwa hivo.
Kuwa tu mpole mana hata mwezi bado.
Na hata zikitoka zitakushangaza mana unaweza jikuta hata haupo ukaanza tena kulialia.
Tulia kijana acha papara, PDF ikitolewa ukawa haupo utaanza tena kuuliza ni lini Tamisemi watatangaza ajira mpya za walimu na afya.Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015.
Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
Kuanzia katikati ya mwezi JuneIfahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015.
Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya
Babu ni jina tu kama yalivyo mkuu, mwamba, mwana nk. So haimaanishi kuwa wewe ni babu.Asante kwa kuniita babu wala haujakosea kwa hapo!! Ila ulipokosea ni kudhani na mimi natafuta ajira!! mimi ni afisa mstaafu kwenye utumishi wa umma!!
Nakuelewa ila mimi ni babu wa ukweli pia!!Babu ni jina tu kama yalivyo mkuu, mwamba, mwana nk. So haimaanishi kuwa wewe ni babu.
Ok mkuu,.Nakuelewa ila mimi ni babu wa ukweli pia!!
Majina yatatoka kabla ya mwezi huu wa tano haujaishaBaada ya week 7
Ila nafasi zao zilikuwa zinapatikana kwenye mfumo kwa shule za msingi na baadhi ya shule za sekondari!! Kuna waliuoomba na watapata!! Halafu asiyeomba ataona kama amepigwa chenga ya kisigino na ataanza kulalamika!!. Waliohitimu kabla ya 2015 hawakuwa wanahitajika, lakini ukikuta mtu aliomba na akapata usilalamike. Ni kwamba ametumia kanuni ya kutokukatishwa tamaa na Mungu akambariki!!Kutoka zitatoka usiwe na wasiwasi lakini si vibaya tukakumbushana tena kuwa walimu wa arts mlikuwa hamuitajiki hili tuliseme mapema kabisa msije mkaanza kulia na kuleta usumbufu humu pindi PDF itakapo toka .
Unajua zinatoka LinSiku zinakimbia hatari.Leo ni tarehe 15.Mkeka utatoka soon.