kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,075
- 1,549
aksante dr slaa.mungu akujalie wewe na mama yetu afya tele.tuna imani na wewe na uongozi wa chama chetu kwa ujumla.kweleakwelea nina mchango wa laki mbili kwa ajili ya radio na tv.
Selous,
Asante. Nakushukuru kwa changamoto na hasa kwa kuanzisha mchango kwa lengo hilo. Kesho kuna kikao muhimu. Nitawasilisha wazo hili ambalo sasa limekuwa kilio cha wengi, ikiwa ni pamoja na Chadema kuwa na akaunti ya YOUTUBE. Nitawajulisha wapenzi wetu maamuzi ya kikao hicho ambayo iwa[po yatakubalika yatapaswa kupitishwa na Vikao vya maamuzi ambavyo navyo vinatarajiwa kukaa siku chache zijazo. Nakushukuru tena, na ninatoa mwito kwa wale wote ambao wangelipenda TV na Radio ya Chadema waendelee kutoa mawazo yao. Ukombozi uko kwenye kona na utalertwa na wenye moyo. Kuchangia jambo jema halihitaji utajiri wa mali bali zaidi wa moyo na uchungu kwa Taifa letu linaloangamizwa kwa spidi na kasi ya ajabu na mafisadi. Natanguliza shukrani za dhati kwa wanahadema na wapenzi wetu kwa ushauri wa mara kwa mara. Tunazingatia yote
mgao wa umeme utaendelea indefinitely
Pole PJ lakini hongera sana tupe habari!
Asante sana mkuu, maana hii ni live unatuletea, kweli CDM waanzishe TV, uwezo huo upo na itapata sana pesa maana itakuwa na watu wengi sana na hivo kutumika kwa matangazo ya biashara, n kuwa na vipindi vingi vya elimu ya uraia na kutangaza chama
PJ tunashukuru sana kwa taarifa mkuu.
Nyongeza:
CDM speed ni nzuri sana ila tunaomba wafanye kazi kwa utaalamu na mshikamano zaidi ili tufike mwaka 2015 bila majeruhi.
Viongozi lazima mcheze na population structure in terms of age of tanzanians.....Angalieni ni wananchi wangapi watakua wanaingia umri wa kupiga kura ifikapo mwaka 2015 na je ni wangapi wanaondoka kwenye hilo kapu...then hapo sasa kwenye kuimarisha chama ndo mtajua mcheze na rika lipi.
Lazima kuwepo kitengo katika chama cha kucheza na takwimu za nchi pamoja na kutumia hizo takwimu kufikia malengo.
PAMOJA SANA ....PEOPLES POWER.
hii ni kalimbowe anasema ccm ni laini kuliko embe mbivu...
kuanzisha TV ni kazi kubwa sana na matayarisho na muda mwing unatakiwa pia ni ghali, kwa sasa ningeshauri watukamie You tube na vitu kama hivyo nagalau itasaidia wakifanya mikakati ya TV, kuwa na ni cheaper a account ni xtremly cheaper
kuanzisha TV ni kazi kubwa sana na matayarisho na muda mwing unatakiwa pia ni ghali, kwa sasa ningeshauri watukamie You tube na vitu kama hivyo nagalau itasaidia wakifanya mikakati ya TV, kuwa na ni cheaper a account ni xtremly cheaper