Tamasha la CDM-Makumira University

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Wakuu,
Salaam.
Muda huu ninapoandika ni kwamba Makumira University kunaendelea tamasha kubwa sana la vijana wanachuo linalohus mwelekeo wa taifa letu na vijana.
Makamanda wa CDM waliopo ni Mwenyekiti taifa-Mbowe,
Mbunge Arusha mjini -G. Lema,
Mbunge wa viti maalum-Grace Kiwelu na wengine wengi.
 
Wakuu moto uliowashwa hapa ni mkubwa, kuzimika itachukua miongo.
 
kutakuwa pia ufunguzi wa tawi la cdm na kukabidi kadi kwa wanachama wapya.
 
jaribu kuulizia ulizia kama kuna mwenye ile cd ya arusha uweze kuturisha online....., Nimeshaona bila jitihada zetu wenyewe hii cd haitapatikana
 
Endelea kutupa info Jimmy, si unjua ingekua CCM hapo TBC wangekua live on air
 
PJ ndio hapo nakokupa credit katika ku report interest za taifa letu hasa vuguvugu la ukombozi. Jana ilikuwa ngumu kuwapata waliokuwa viwanja vya mabibo
 
Saa ya ukombozi imewadia PJ fanya utaratibu tuone picha! Wingine tupo Jeddah
 
PJ uwe makini husikiza idadi ya kadi za wanachama wapya...maana hili ndio linalowafunga midomo wana ccm wakisikia number za kadi mpya..
 
Wakuu,
Salaam.
Muda huu ninapoandika ni kwamba Makumira University kunaendelea tamasha kubwa sana la vijana wanachuo linalohus mwelekeo wa taifa letu na vijana.
Makamanda wa CDM waliopo ni Mwenyekiti taifa-Mbowe,
Mbunge Arusha mjini -G. Lema,
Mbunge wa viti maalum-Grace Kiwelu na wengine wengi.

Wameorganize lini mbona maandalizi yamefanyika kimyakimya au ni mimi tu sikuwa na taarifa. Bravo chadema!! Kwa mtindo huo, mafisadi na chama chao kichwa chini miguu juu.
 
PJ uwe makini husikiza idadi ya kadi za wanachama wapya...maana hili ndio linalowafunga midomo wana ccm wakisikia number za kadi mpya..

Zikichukuliwa na picha za kadi zinazorudishwa za sisiem, mambo yatakuwa bam bam zaidi. Hakika ukombozi ukianza, hakuna wa kuuzuia.
 
Tusije tukasikia hivi karibuni inatungwa sheria haraka haraka ya kuzuia wanavyuo kushiriki shughuli za kisiasa mana inaanza kula kwao sasa hadi kilichodhaniwa tawi la chama UDOM wamewageuka wanakijani na manjano!
 
Samahani wakuu..nilikuwa eneo ambalo halikuwa zuri kimawasiliano...
 
Lema amesema kuwa haitakiwi kwa msomi yeyote wa University awe bado ccm
 
mbowe kaeleza kuwa kazi ya kudai haki si ya lelemama, ndiyo maana wanavaa magwanda...
 
Na kwamba watayavua siku watakuwa wameifikisha nchi hii kwenye haki, usawa wa kila mtanzania na kwenye amani ya kweli..
 
Pia mbowe anaendelea kueleza kuwa maana ya NGUMI wakati wa kusema PEOPLES POWER ni kuonyesha ushujaa, na kuwa tayari muda wote bila ya hofu~!
 
wakuu, picha zitawekwa baadaye..kamanda wangu SaharaVoice yuko eneo latukio kwa sasa ndiye anayesimamia upande wa picha...
 
Mimi imebidi niende mahali penye cafe' ...hivi napewa details kwa simu, then narusha..maana mtandao wa simu leo una shida!
 
Back
Top Bottom