Tamasha la CDM-Makumira University

Tamasha la CDM-Makumira University

PJ,
heshima mbele mkuu.
Tumefarijika sana kutujuza yaliyoendelea hapo nyumbani.
Hii nchi yetu itakombolewa na kujengwa upya na wazalendo, ukiwa mmojawapo.
 
Tunashukuru kwa taarifa ni mambo mazuri CDM wanapo wajumuisha vijana kwani ndio nguzo ya taifa letu. Wazee wamekubali kufa na CCM yao tunawatakia kifo chema na chama chao cha majambazi. PEOPLES POWER ndio itakayo iondoa CCM madarakani safari yao imefikia ukingoni. BRAVO CDM
 
kaka tupe habari lazima kupambana hata jana tulikuwa pale mabibo kwa kweli ilipendeza sana na ccm wako chali kila mahali ni wao wana jihoji wanashindwa kupata majibu jinsi nchi inavyokwenda na hatima ya ccm
 
Wandugu kwa pamoja tutawezesha chama chetu kupata Tv na redio yake, naamini chama kikiwa na nyenzo hizo tutasonga mbele, kadi za uanachama kwa walioko ngambo mzijadili maana online bado inasumbua, tungependa kutoa michango yetu pia
 
Makamanda wa CDM waliopo ni Mwenyekiti taifa-Mbowe,
Mbunge Arusha mjini -G. Lema,
Mbunge wa viti maalum-Grace Kiwelu na wengine wengi.

Hiki ni chama cha kitaifa, hata hapa tulipo namuona, Eliofoo, Malya, Manka, Mushi, Mrema, Chuwa ni Vyasaka wachache hapa.
 
Moto wa CDM no one can stop, kumbuka ni wasomi most of them, including me, Dr. Slaa lead us, tupo pamoja, tunafurahi jana
ulivyo ongelea maswala ya Taifa kwa uchungu na ukweli uleule uliokuwa nao, leo pia upo online hii inatupa upendo wa ajabu sana, saaaana
na leo tena Mbowe kawasha moto makumira Arusha, kumbuka UDOM ipo CDM now almost 95% trust me, wananchi wote wanaimani
na CDM kwani wameshaona pressure ya maisha mapema na madudu ya CCM kibao within 2 months only, CDM keep it up......... CCM haijajua
hadi sasa inapambana na wasomi wanaoongoza wananchi kuelekea ukombozi wa kweli
 
Maana hakuna KIJIJI TANZANIA HII AMBACHO HAWATAKANYAGA...

Mkuu hapo hata mimi natoa big up kwani ndo kitu ambacho nilikuwa nalia nacho kila siku kuwa ni lazima katika miaka hii mi5 kabla ya 2015 tuwe tumejenga chama imara kilichosambaa sawia tanzania nzima: bara hadi visiwani, kaskazini hadi kusini, magharibi hadi mashariki, kati na pembezoni. Vilevile nilikuwa nashauri wabunge wote wa cdm watoe sehemu walau ndogo ya mapato yao katika kusaidia chama kukua. Kwa sisi wadau wengine basi kila mmoja kwa nafasi yake aangalie namna ambavyo anaweza kukiwezesha chama kujitandaza. Naamini 2015 utakuwa mwaka wa cdm.
 
Safi maana hapo mwamko wa wananchi utakuwa ni mkubwa sana hasa maana anazidi kukitangaza na kunadi sera za chama

Ni sawa yeye kama mwenyekiti aoneshe njia, lakini kazi ya kukitangaza chadema kila kona ni jukumu la kila mwanachadema, hiyo itasaidia chama kuenea kwa haraka na kupata nguvu kubwa ya umma. tukiwaachia Slaa na Mbowe hawataweza, nchi hii ni kubwa sana na ikumbukwe kuwa kule vijijini uelewa wa watu pi ni mdogo sana kutokana na kunyweshwa maji ya sumu na ccm. Hivyo unahitajika ufagio wa nyumba kwa nyumba mpaka kieleweke.
 
Hakuna kazi wala gharama kama wananchi wameamua....wataalam wa mambo hayo wamo humu wa kutosha tu, cha muhimu ni kupanga mikakati vizuri...

Uko sahihi mkuu hakuna kisichowezekana. Twendeni mbele tusipende kurudishana nyuma hasa katika harakati hizi za ukombozi. Unaposema kuanzisha TV station ni gharama je umeshafanya utafiti kuwa ni kiasi gani? je chama kianweza ku-raise kiasi gani kutoka vyanzo gani? Lets be Optimistic.

"Impossible is in the dictionary of fools"
 
pj, leo umefanya kazi nzuri sana nitakugonge li-thanks maana kwa sasa dowans wanafanya kazi yao..sikujua kama kuna tamasha makumira naamini ningekuwepo huko
 
pj, leo umefanya kazi nzuri sana nitakugonge li-thanks maana kwa sasa dowans wanafanya kazi yao..sikujua kama kuna tamasha makumira naamini ningekuwepo huko

Mkuu, kwanza kbs naomba unisamehe kwa kuondoka baru bila kukustua...kwa jinsi nilivyokuwa nimehamasika akili zote zilihamia huko. Lakini tumejitahidi kuleta tulichopata, na picha zitatundikwa alfajiri kesho.
Tuko pamoja Meneja wetu.
 
wakuu Arusha tunawapongeza sana. Punde tutaomba mchango wa mawazo namna tutakavyofanya tamasha la historia la cdm hapa moro. litahusisha vyuo vya SUA, MZUMBE, ST. GASPER, KIGURUNYEMBE na MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO.
 
wakuu Arusha tunawapongeza sana. Punde tutaomba mchango wa mawazo namna tutakavyofanya tamasha la historia la cdm hapa moro. litahusisha vyuo vya SUA, MZUMBE, ST. GASPER, KIGURUNYEMBE na MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO.

Naunga mkono hoja.
Morogoro ni moja kati ya ile mikoa ambayo inahitajika nguvu ya ziada kuweza kujiweka sawa. Tukianza na wasomi wa vyuo vikuu itakuwa ni njia nzuri ya kuweza kujijenga.
 
Mimi nakazania tuende kwenye TV na radio, haya mambo mengine yapo na yanaendelea tu kama hizo youtune n.k Tukumbuke kwa hali yetu ya maisha TV kwa sasa ndio the most effective media. Hebu tujiulize, hivi kukosa ule mdahalo wa ana kwa ana na Dr Slaa ulioendeshwa pale Moven pick, ni watu wangapi wangemfahamu Dr na kuvunja uongo wa propaganda za CCM, Je kama mdahalo ule ungerushwa kwa you tube ungekuwa na same impact? mi nafikiri tusiogope garama tu attack hiyo TV please, na madhali dr amesema watalijadili basi tubakie hapo
 
wakuu Arusha tunawapongeza sana. Punde tutaomba mchango wa mawazo namna tutakavyofanya tamasha la historia la cdm hapa moro. litahusisha vyuo vya SUA, MZUMBE, ST. GASPER, KIGURUNYEMBE na MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO.

Mkuu Tuko.
Morogoro kuna potential ya kutosha sana kwa kuangalia idadi ya vyuo, huwez fananisha na Ruvuma. hivyo naamini moto ukiwashwa kwa kushirikisa colleges hizo zote effet yake itakuwa ni Tsunami. 2ko pa1
 
Back
Top Bottom