Tamasha la CDM-Makumira University

Baada ya maelezo marefu kuwaelewesha makao makuu ya UN..juu ya kisa cha kumkamata, wakuu hao wa Amerika wakaruhusu ashikwe...kwa masharti maalum
 
wakatoa onyo na masharti kuwa hakiza binadamu zote lazima zifuatwe na asionewe kwa namna yoyote...
 
DR. SLAA,

Nakuona Rais wangu na kiongozi wa serikali (Kimsingi CDM ndo inaongoza serikali). Naomba unisaidie, kwa nini nasi tusiwe na redio pamoja na TV stations? Ninaanza kamchango kangu, ninayo laki 1 mfukoni. Mbona CCM wanayo?

Mpaka kieleweke!
 
Alipelekwa polisi...akaandika maelezo na akawekewa dhamana fasta..sasa hivi yuko barabarani kama kawa...
 
DR. SLAA,

Nakuona Rais wangu na kiongozi wa serikali (Kimsingi CDM ndo inaongoza serikali). Naomba unisaidie, kwa nini nasi tusiwe na redio pamoja na TV stations? Ninaanza kamchango kangu, ninayo laki 1 mfukoni. Mbona CCM wanayo?

Mpaka kieleweke!
Mkuu wazohili lipo sana..na nadhani kuna thread yake somewhere humu....Ni wazo la msingi sana na wengi wamevolunteer kutoa fedha za kuchangia uendeshaji...
 
Sijui kwanini wakuu wanavuta muda...huenda kuna lolote linafanywa kutekeleza hili...maana hata dvdyetu(original version) ingeonyshwa vizuri kam tungekuwa na tv!
 
DR. SLAA,

Nakuona Rais wangu na kiongozi wa serikali (Kimsingi CDM ndo inaongoza serikali). Naomba unisaidie, kwa nini nasi tusiwe na redio pamoja na TV stations? Ninaanza kamchango kangu, ninayo laki 1 mfukoni. Mbona CCM wanayo?

Mpaka kieleweke!

Mkuu hili wazo la muhimu sana itatupa nafasi ya kuona na upande wa pili maana kila siku kuangalia habari zilizochakachuliwa inachosha..
 
Mabadiliko hayaepukiki, ni kama usiku unavyoupisha mchana. Bado Iringa na vyuo vyake vitatu Mkwawa, RUCO na Tumaini. TUNAWASUBIRI KWA HAMU KUBWA.
 
PakaJimmy please muone Gurudumu akupe kale kamzigo uka-upload youtube sababu yeye anaogopa PLEASE
 
wakatoa onyo na masharti kuwa hakiza binadamu zote lazima zifuatwe na asionewe kwa namna yoyote...

Duh sasa hii si ni sawa na serikali kujishtaki yenyewe kwenye jumuia ya kimataifa, maana jamaa wanaweza kuamua kufuatilia tukio zima, kazi kweli kweli
 
PakaJimmy please muone Gurudumu akupe kale kamzigo uka-upload youtube sababu yeye anaogopa PLEASE
Ha ha haaaa...Namshangaa kiongozi huyu...ana kombora na anawaface maadui anaona soo kuwarushia na kuwasambaratisha...ngoja nijaribu..
 
Selous,

Asante. Nakushukuru kwa changamoto na hasa kwa kuanzisha mchango kwa lengo hilo. Kesho kuna kikao muhimu. Nitawasilisha wazo hili ambalo sasa limekuwa kilio cha wengi, ikiwa ni pamoja na Chadema kuwa na akaunti ya YOUTUBE. Nitawajulisha wapenzi wetu maamuzi ya kikao hicho ambayo iwapo yatakubalika yatapaswa kupitishwa na Vikao vya maamuzi ambavyo navyo vinatarajiwa kukaa siku chache zijazo.

Nakushukuru tena, na ninatoa mwito kwa wale wote ambao wangelipenda TV na Radio ya Chadema waendelee kutoa mawazo yao. Ukombozi uko kwenye kona na utalertwa na wenye moyo. Kuchangia jambo jema halihitaji utajiri wa mali bali zaidi wa moyo na uchungu kwa Taifa letu linaloangamizwa kwa spidi na kasi ya ajabu na mafisadi. Natanguliza shukrani za dhati kwa wanahadema na wapenzi wetu kwa ushauri wa mara kwa mara.

Tunazingatia yote
 
Mabadiliko hayaepukiki, ni kama usiku unavyoupisha mchana. Bado Iringa na vyuo vyake vitatu Mkwawa, RUCO na Tumaini. TUNAWASUBIRI KWA HAMU KUBWA.
Yup mkuu...Wasomi ni hazina katika nchi...na mageuzi yoyote katika nchi ni lazima yawe spear-headed na wasomi..tunasubiri vyuo hivyo..
 
wakuu...maswali kwa wakuu yanaendelea hapa...ni kwamba wanachuo kama jamii ya wasomi wanauliza juu ya KATIBA...
 
wANAuliza concern ya cdm juu ya katiba...wanasema kama kifungu cha 37 cha katiba kinamruhusu rais kukataa mapendekezo ya kamati ya katiba...msimamo wa cdm nini juu ya hilo?..wanayo altenative ya kuibuka na utatuzi wa hilo?
 
Pia wanauliza swali kuhusu uchaguzi, kuwa iwapo mgomgea aliyeshinda katika jimbo anaonekana kuwa ni wa cdm, basi matokeo hayatolewi au kutangazwa..chama kina mkakati gani wa kufuta upuuzi huo?
 
Vijana wameingia hamasa kubwa sana hapa..wanauliza swali juu ya kugombea...wanasema kuwa maeneo ya umasaini kuna ishu za MARIKA(AGE-SETS)..Kwahiyo...
 
kama una age ndogo unakuta by default unakuwa mkosefu wa adabu kama utathubutu kutangaza nia ya kugombea mbele ya wakubwa kwako ki-rika(sijui ndo ma-leigwanan)...Je chama kina mpango gani wa kuondoa dhana ya MILA katika maeneo hayo?
 
Back
Top Bottom