Tamasha la CDM-Makumira University

Tamasha la CDM-Makumira University

Ile ya kipindi kile ilikuwa inaitwa operesheni SANGARA sasa sijui hii tuiiteje maana ni balaa
<br />
<br />

Hii itaitwa operation pumua; kwani hicho kitendo kinasimama tu pindi uhai unapomtoka mtu, na ndo hasa linalohitajika ktk kuikomboa Tz yetu. Muda si mrefu hata hawa polisi watajiunga na wapigania haki, kwani ugumu wa maisha hauchagui kuwa wewe ni wa ccm au ni mtumwa wa ccm au la!
Polisi wa Tunisia wameliona hilo na hivi sasa wanshirikiana na wananchi kumshughulikia mchawi wao.
 
safi sana kwa jitihada hizo kutujuzi,peoples.............................
 
Wana makumira tupo juu tumeamua kuwatolea uvivu hawa wana chama cha majambazi zasio na huruma na maisha ya watanzania wenzao wa kipato cha chini,KAMANDA MBOWE AMEMTUMIA SALAMU KIONGOZI ZA GENGE LA WEZI JK.yani tukio lilikuza live.Wanazuoni wa Makumira now tunakuja kwa vitendo,hatutaki tena maneno matupu.Tutajitahidi
CHAMA CHA MAJAMBAZI TUNAKIANGUSHA CHALI
 
Wana makumira tupo juu tumeamua kuwatolea uvivu hawa wana chama cha majambazi KAMANDA MBOWE AMEMTUMIA SALAMU KIONGOZI ZA GENGE LA WEZI JK.Wanazuoni wa Makumira now tunakuja kwa vitendo,hatutaki tena maneno matupu.
CHAMA CHA MAJAMBAZI TUNAKIANGUSHA CHALI

Big up kiongozi.
Nimewakubali jinsi mlivyo juu baba. Kwa msimamo ule, lazma mtu atakuwa anaangukaanguka huko white-house, lakini hatuambiwi
 
wakuu Arusha tunawapongeza sana. Punde tutaomba mchango wa mawazo namna tutakavyofanya tamasha la historia la cdm hapa moro. litahusisha vyuo vya SUA, MZUMBE, ST. GASPER, KIGURUNYEMBE na MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO.

na moro tena, kaaaaaaaaahhh CDM ni moto, mmmhh, excellent
 
Sasa sio cheche tena bali moto umelipuka. Saaaaaaafiiiii saaaaaaana Waungwana !!!!!!!!!!
 
Mwenyekiti Taifa wa Chadema Akiwasili katika Hoteli ya Ndoro iliyopo jirani kabisa na Chuo kikuu cha Makumira tayari kufungua Tawi jipya la Wanafunzi wa Chuo kikuu - Makumira.

Akiwasili.JPG Akiwasili Ndoro.JPG
Akisalimiana na Makamanda wapya, Kulia picha ya pili ni Mwenyekiti wa CDM mkoa wa Arusha Bw. Samson Mwigamba
 
Nassari.JPG

Aliyekuwa Mgombea wa Ubunge Arumeru Mashariki Bw. Nassari akihutubia Wanachama wa CDM.
Mh. Nassari aliwataka wasomi kutokuogopa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa Nchi.
 
Lema.JPG

Mbunge wa Arusha Mjini, Kamanda Godbless Lema, akihutubia katika mkutano huo.

Mbunge Lema alisema haoni sababu yoyote kwa msomi kuwa mwanachama wa CCM labda tu kama ni kwa sababu ya maslahi binafsi.
 
Kiwelu1.JPG

Mh. Grace Kiwelu (MB. Viti Maalumu) naye hakubaki nyuma katika kuhakikisha CDM inapenyeza kisawasawa kwenye kada ya wasomi nchini
 
Erasto Tumbo.JPG

Mkurugenzi wa Idara ya habari na uenezi makao makuu Bw. Erasto Tumbo akihutubia.
 
Mkiti Hai.JPG

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai, Mh. Clement Kwayu akitoa nasaha zake.
 
Mwigamba.JPG

Mwenyekiti wa CDM mkoa wa Arusha Bw. Samson Mwigamba akitoa hotuba ya kumkaribisha Mwenyekiti Mbowe ili ahutubie mkutano.

Bw. Mwigamba alisema hivi sasa kibarua chake huko umoja wa mataifa kipo hatarini kutokana na kuunganishwa katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema kutokana na vurugu zilizosababishwa na Polisi wakati wa maandamano ya Jan 5 mjini Arusha na kusababisha vifo vya watu watatu.

Bw. Mwigamba alisema ikitokea akaambiwa mwajiri wake achagua kimoja kati ya Ajira au Siasa, Yeye yuko tayari kuendelea na Siasa.
 
Back
Top Bottom