Tamasha la CDM-Makumira University

Tamasha la CDM-Makumira University

mbowe anasema ccm ni laini kuliko embe mbivu...
 
maana wasipotumia majeshi..polisi...ffu ..unaweza ukawapiga kirahisi mno hadi ukafungwa...
 
Na anasema kuwa pamoja na nguvu wanayotumia kutunyamazisha, bado hawapati usingizi..japokuwa sisi tunatumia kauli tu mbele ya watanzania..ha ha haaa
 
Naambiwa wanafunzi wamejaa mno na kadi zinauzwa kama njugu....ni hali ya ajabu mno!
 
Naambiwa hadi wananchi wa kawaida wa maeneo hayo wameapa kutoichagua ccm hadi kiyama...kijiji chote kinaikana ccm
 
Waungwana, hawa jamaa wa CDM Arusha nawafagilia sana..wanawakilisha kwa vitendo
tukijitahidi kwa mtindo huu tutafika
tu.....:A S-fire1:
 
Yes saaafi sana,tukienda hivi hadi 2015 watatukoma.Lazima kieleweke
 
Tendo la kugawa kadi hadharani linaendelea wakuuu..kuna foleni za hatari...sijui kama Mbowe atafanikiwa kumaliza misururu hii leo.
 
pj kongamano lipo ukumbi gani hapo makumira nami niunge!
 
Taarifa toka eneo latukio...Kadi 9 za ccm zimerudishwa, na wliokuwa wakizimiliki wameikana ccm hadharani..na kwamba walikuwa gizani totoro...
 
Pia naaambiwa tawi LA CDM MAKUMIRA linaanza rasmi likiwa na list ya wanachama wapya 200..ha ha haaa...
 
Back
Top Bottom