Tamasha la CDM-Makumira University

Wasidhani baada ya kupata ubunge wanaanza kustarehe...wanatakiwa waage kwa familia zao kuwa wanaenda sasa vitani...

Hilo neno PJ maana huku Dar Ubungo Plaza kuna semina ya wabunge wa CCM inaendelea sijui wanafundishwa mbinu ya kuikubali Dowans
 
mAANA antakiwa leo hii atembelee kata 3 huko HAI...NA KUHUTUBIA KOTE...
 
Na kisha kuondoka leoleo USIKU kurudi Dar...NI KAZI KUBWA JAMANI NA INATAKA MOYO.
 
Kwa ujumla kila mtu ana furaha ya ajabu huku mahala....inakuwa kama watu wameona kwa macho yao MKOMBOZI akija kwenye jamii yao..
 
Jana JK alikuwa Arusha..lakini hakuthubutu kukanyaga ARUSHA MJINI... .ha ha haaaa
 
Aliishia eneo la Monduli..ambapo ni kama KM 30tu toka mjini arusha...ha ha haaa
 
Vijana mnaochungulia humu mnamuona Camarade Mbowe anavofight?
mara zote maji na mafuta hujitenga mbali..we aill see the results
 
Maji yamemzidi UNGA...anahaha kumuuliza mkuu wa mkoa na Andengenye kuwa ..vipi vurugu zimeisha..???...vichekesho!
 
Kwa ufupi ni kama zoezi la hapa Makumira ndio linayoyoma....
 
Back
Top Bottom