TALA Tanzania ni Matapeli wa Mikopo ya mitandaoni

TALA Tanzania ni Matapeli wa Mikopo ya mitandaoni

Hao ni wezi mm niliomba mkopo wa shs 20000hawakunipa na eti sasa watuma kuwa wananidai watajiju
 
Du! Me TALA ijawai niangusha na kopa na kulipa fresh
[emoji1]
Screenshot_2018-08-21-01-38-11-108.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilianza kukopa Tala mwezi wa nane (August) mwaka huu mpaka mwezi wa kumi na moja nilifikia kiwango cha kukopa elf 80.

Nikiwa narejesha mkopo wa elf 72,000 nilijisahau nikatuma 172,000

Ikanibidi niwasiliane nao kwa SMS ili wanirejeshee, tangu tarehe 09-Nov-2017 mpaka sasa hawajanijibu niliwatumia SMS kwa email na kwa kutumia app yao lakini sijapata majibu yoyote.

Kibaya zaidi nilipojaribu kukopa niliambiwa sina vigezo vya kupata mkopo.
Sijui nichukue hatua gani?
Utakua umekwama mkuu

Jamaa yangu aliniambia eti ukikopa 20000 riba 3500 niamwambia siwezi kuwalipa watu pesa mingi hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania hamna jema!Kila kitu kulalamika tu.Haya makampuni,yana saidia sana na kupunguza aibu ya kwenda kunyenyekea kwa mtu kukopa.Kumbuka kuna baadhi ya watu,au niseme wengi,mambo ni magumu sana,biashara haziendi,gharama za biashara ziko juu,mishahara midogo,matatizo lukuki,mtu wakati mwingine unalazimika kukopa.Sasa kwa nini unalaani mara riba kubwa wakati kukopa ni hiari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom