TALA Tanzania ni Matapeli wa Mikopo ya mitandaoni

TALA Tanzania ni Matapeli wa Mikopo ya mitandaoni

Tala
Branch
Tigo Niwezeshe *150*81#

Hawa tunawatumia kujenga credit score ili chochote kikitokea basi unavuta pote
Hebu fikiria umepata emergency usiku na huna hela na watu wamelala

Mi nawakopa na kuwarudishia kila kabla ya muda wa marejesho naamini nikifikia Tala 300000
Branch 1mil basi sitasumbuka wakati wa emergency
 
Dawa ya hivyo viji Apps vya Mikopo ni kusajili line, kopa halafu sepa...coz ofcourse ni Matapeli, ili akili yako izoee hadi ufike kuwa na deni kubwa kwa ahadi ya kukopwa zaidi kumbe no unapigwa mazima...yaan na akili zako kabisa kupitia kiji App tu ukopeshwe laki?? teh
 
The tala wajinga sana nilianza 20,000.. Ukirudisha na riba 24000, sawa Wakanitumia nikajua watatuma n ya kutolea mimi mkopo wangu si 20000!!?? kutoa nakatwa 1500 khaaaaa.. Kwa hiyo mkopo na riba na gharama za kutoa ni 25500... Zoezi likaja kurudisha kutuma 24000 nikakatwa gharama za kutuma 900.... Jumla hapo ni 26400.... Nikaomba tena mkopo wakanipa 26000.... Maninaaaaaa zao naona maemail yao tu.... N meseji nyingi nyingi za vitisho.... Ni wa upuuzi
wao wakipigiwa ndo wanaanza kila siku simu na meseji za vitisho!!!! hahaha
 
Dawa ya hivyo viji Apps vya Mikopo ni kusajili line, kopa halafu sepa...coz ofcourse ni Matapeli, ili akili yako izoee hadi ufike kuwa na deni kubwa kwa ahadi ya kukopwa zaidi kumbe no unapigwa mazima...yaan na akili zako kabisa kupitia kiji App tu ukopeshwe laki?? teh

Badili na simu
 
na ndo kilichonifanya nisilipe sasa wakipenda waniburuze mahakamani coz pesa zangu wamekula kibao wala sitaki wanikopeshe tena maana ni utumwa na riba zenyewe ni kubwa sana
Mkuu hawa jamaa umefika nao wapi uliwalipa?
 
Hahahahah basi siwalipi tena
Wananidai 70000 hata jana alinipigia sim mkenya yule hahahahah
Bahati nzuri natumia sim ambayo gps haionekani[emoji2][emoji2][emoji2] imekula kwao
Dawa mzee wa forex
 
Hapa vp?
Screenshot_20180920-080621.jpg
 
Asije akamlipa mkenya. Hakuna watu wa ovyo kama wakenya
Nataka nijue kama hajawalipa wamemchukulia hatua gani ili wengine tujue kabisa kabla hatujachukua mikopo, mkopo wao huweki dhamana sasa ikatokea umeshindwa kulipa ni vema tukajua wanachukua hatua gani.
 
Mm nilizidisha elfu 4 nikasubiria kurejeshewa kimya hadi leo, nimetulia tu nasubiri nianze kuwakopa tena ili nirejeshe nusu kufidia elfu 4 yangu ya mkopo uliopita
 
Jamaa mbona wako vizuri tu, me niliwakopa ela ya bia nane elf 20,,niliwalipa 24000 baada ya mwezi,,,maana nilifulia
 
Nilianza kukopa Tala mwezi wa nane (August) mwaka huu mpaka mwezi wa kumi na moja nilifikia kiwango cha kukopa elf 80.

Nikiwa narejesha mkopo wa elf 72,000 nilijisahau nikatuma 172,000

Ikanibidi niwasiliane nao kwa SMS ili wanirejeshee, tangu tarehe 09-Nov-2017 mpaka sasa hawajanijibu niliwatumia SMS kwa email na kwa kutumia app yao lakini sijapata majibu yoyote.

Kibaya zaidi nilipojaribu kukopa niliambiwa sina vigezo vya kupata mkopo.
Sijui nichukue hatua gani?
hawa wana ofisi zao hapa Dar, nadhani pia waweza kutafuta msaada TCRA
 
Jisikie mwenye bahati, maana wewe u mkuu kuliko TWALA ndio maana wamekopa 100,000 kwako...vuta subra, watarudisha tu.

Inna allahu maswaabrina!
 
Back
Top Bottom