impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,846
- 7,906
Nilianza kukopa Tala mwezi wa nane (August) mwaka huu mpaka mwezi wa kumi na moja nilifikia kiwango cha kukopa elf 80.
Nikiwa narejesha mkopo wa elf 72,000 nilijisahau nikatuma 172,000
Ikanibidi niwasiliane nao kwa SMS ili wanirejeshee, tangu tarehe 09-Nov-2017 mpaka sasa hawajanijibu niliwatumia SMS kwa email na kwa kutumia app yao lakini sijapata majibu yoyote.
Kibaya zaidi nilipojaribu kukopa niliambiwa sina vigezo vya kupata mkopo.
Sijui nichukue hatua gani?