Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,660
Ndugu mteja tulishakutaadharisha mara nyingi juu ya ukaidi unaofanya.Meseji za vitisho kama zipi?
Tanzania ilipitisha sheria ya makosa ya mtandao ya 2015.
Kwa mfano kwa mujibu wa kifungu cha 15 cha sheria ya makosa ya Mtandao ya mwaka 2015,mtu yeyote ambaye kwa kutumia Simu/Compyuta kujipatia Fedha kwa utapeli/udanganyifu anaweza kutozwa faini isiyopungua sh.5M bila kujali kiasi anachodaiwa.
Vile vile anaweza kufungwa kifungo kisichopungua miaka 7 au vyote kwa pamoja.
BRANCH INT. inatoa wito kwa wadaiwa wote Sugu kukamisha malipo yao Leo kabla hatua kali hazijachukuliwa zidi yako.
NB:Tuma sms ya Muamala ufanyapo malipo..