TALA Tanzania ni Matapeli wa Mikopo ya mitandaoni

TALA Tanzania ni Matapeli wa Mikopo ya mitandaoni

Ndugu mteja, deni lako ulilokopa kutoka Branch International limekaa muda mrefu sana, KUWA MUUNGWANA lipa mkopo wako ili uendelee na huduma zetu na kuepuka kusumbuliwa kila wakati.

me branch wananitumia sms hii kila baada ya siku mbili ila sina mpango wa kuwalipa.
Walipe mkuu Mungu atakuongezea
 
Hahahahah basi siwalipi tena
Wananidai 70000 hata jana alinipigia sim mkenya yule hahahahah
Bahati nzuri natumia sim ambayo gps haionekani[emoji2][emoji2][emoji2] imekula kwao
Walipe tu
 
Wana Jf wanatoa Ushuhuda wa namna walivyowatapeli Matapeli.., sasa ukifanya cross multiplication unabaini kuwa wanaopractice Utapeli hawana taaluma hiyo ila wenye taaluma zao wametulia Jf!
Ukipitia nyuz zingine jf ukazifanyia kazi waweza kuwa tapeli wa kimataifa
 
The tala wajinga sana nilianza 20,000.. Ukirudisha na riba 24000, sawa Wakanitumia nikajua watatuma n ya kutolea mimi mkopo wangu si 20000!!?? kutoa nakatwa 1500 khaaaaa.. Kwa hiyo mkopo na riba na gharama za kutoa ni 25500... Zoezi likaja kurudisha kutuma 24000 nikakatwa gharama za kutuma 900.... Jumla hapo ni 26400.... Nikaomba tena mkopo wakanipa 26000.... Maninaaaaaa zao naona maemail yao tu.... N meseji nyingi nyingi za vitisho.... Ni wa upuuzi
Matapeli tu
 
Sidhani kama wamekutapeli, labda kuna taratibu tu au wanahakiki.
Maana hata wao waliweza kukupa wewe Tshs 80,000/= bila kukujua unakaa wapi, lengo la kukupa wewe hiyo 80,000/= ambayo ndio primary business yao lina utapeli ndani yake??
Ni swali gum lakini ukweli ndio huo kwanini wasinge nikopesha nipunguze deni langu?
 
Watu mnafurahi kula mali za wanaume wenzio. Si sahihi, kopa lipa.
Mi nilikopa sana the branch nikalipa mpaka nilifika 80,000 nkaacha na app yao nikaitoa baada ya kuona wana riba kubwa na kiwango cha kukopesha kinapanda polepole sana na muda wa kurudisha ni mfupi mno.
Branch nimekopa miezi 4 hawajawahi kupandisha kiwango ni elf 10 tu hata sijui kwa nn
 
Back
Top Bottom