TALA Tanzania ni Matapeli wa Mikopo ya mitandaoni

TALA Tanzania ni Matapeli wa Mikopo ya mitandaoni

Ndio mnajua leo kwamba ni MATAPELI bira hata wewe ulipata elfu 80...wngine ukishafika elfu 30 ndo basi na hapo umerejesha kwa wakati...


Ndio maana mimi naamua kuwatapeli tu!
 
Nami nafikiria kuwa tapeli...

Wabongo walivyo mazumbukuku ukiwa tapeli unatusua within on time...

Ona babu wa Samunge, sijui dokta Shika, forever sijui nini, qnet etc...
Hahahaaaa mkuu umetaja forever umenikumbusha mbali sana
 
Nilianza kukopa Tala mwezi wa nane (August) mwaka huu mpaka mwezi wa kumi na moja nilifikia kiwango cha kukopa elf 80.

Nikiwa narejesha mkopo wa elf 72,000 nilijisahau nikatuma 172,000

Ikanibidi niwasiliane nao kwa SMS ili wanirejeshee, tangu tarehe 09-Nov-2017 mpaka sasa hawajanijibu niliwatumia SMS kwa email na kwa kutumia app yao lakini sijapata majibu yoyote.

Kibaya zaidi nilipojaribu kukopa niliambiwa sina vigezo vya kupata mkopo.
Sijui nichukue hatua gani?
Pole mkuu. Mtandaoni matapeli wengi sana.
 
Hahahahah basi siwalipi tena
Wananidai 70000 hata jana alinipigia sim mkenya yule hahahahah
Bahati nzuri natumia sim ambayo gps haionekani[emoji2][emoji2][emoji2] imekula kwao
 
The tala wajinga sana nilianza 20,000.. Ukirudisha na riba 24000, sawa Wakanitumia nikajua watatuma n ya kutolea mimi mkopo wangu si 20000!!?? kutoa nakatwa 1500 khaaaaa.. Kwa hiyo mkopo na riba na gharama za kutoa ni 25500... Zoezi likaja kurudisha kutuma 24000 nikakatwa gharama za kutuma 900.... Jumla hapo ni 26400.... Nikaomba tena mkopo wakanipa 26000.... Maninaaaaaa zao naona maemail yao tu.... N meseji nyingi nyingi za vitisho.... Ni wa upuuzi
 
Back
Top Bottom