TALA Tanzania ni Matapeli wa Mikopo ya mitandaoni

TALA Tanzania ni Matapeli wa Mikopo ya mitandaoni

Nilianza kukopa Tala mwezi wa nane (August) mwaka huu mpaka mwezi wa kumi na moja nilifikia kiwango cha kukopa elf 80.

Nikiwa narejesha mkopo wa elf 72,000 nilijisahau nikatuma 172,000

Ikanibidi niwasiliane nao kwa SMS ili wanirejeshee, tangu tarehe 09-Nov-2017 mpaka sasa hawajanijibu niliwatumia SMS kwa email na kwa kutumia app yao lakini sijapata majibu yoyote.

Kibaya zaidi nilipojaribu kukopa niliambiwa sina vigezo vya kupata mkopo.
Sijui nichukue hatua gani?
Sasa hapo Umetapeliwa au umejitapeli mwenyewe??
Nilidhani ukiomba mkopo hawakupi, kumbe walikupa ila kwenye kurejesha mwenyewe ndio umewatumia zaidi??
 
OFISI za TALA, zipo sehemu gani? namba yao ya customer service iwekeni wazi ili kama kuna watu wanaweza kuwafatilia wawafatilie mapema
Hata sijui ofis yao ipo sehem gani kwenye mashariti yao wanasema hawapigiwi sim ni SMS tu
Lakini wakisha kupga hawajibu SMS tena
 
Sasa hapo Umetapeliwa au umejitapeli mwenyewe??
Nilidhani ukiomba mkopo hawakupi, kumbe walikupa ila kwenye kurejesha mwenyewe ndio umewatumia zaidi??
Mkuu sasa siwangeniludishia?
Au wangeendelea kunikopesha
 
Mkuu sasa siwangeniludishia?
Au wangeendelea kunikopesha
Sidhani kama wamekutapeli, labda kuna taratibu tu au wanahakiki.
Maana hata wao waliweza kukupa wewe Tshs 80,000/= bila kukujua unakaa wapi, lengo la kukupa wewe hiyo 80,000/= ambayo ndio primary business yao lina utapeli ndani yake??
 
Watu mnafurahi kula mali za wanaume wenzio. Si sahihi, kopa lipa.
Mi nilikopa sana the branch nikalipa mpaka nilifika 80,000 nkaacha na app yao nikaitoa baada ya kuona wana riba kubwa na kiwango cha kukopesha kinapanda polepole sana na muda wa kurudisha ni mfupi mno.
 
haha mimi nimewatapeli..............
huyu mkenya ananiongelea lugha ya ukali, akwendree...
naona wanafidia sisi tunaowaingiza chaka!!!!!!!
halafu riba zao ni kubwa balaa kabisa ukipiga hesabuu unaweza data unless uwe unazifanyia kazi ya kukuingizi pesa mob
Ndiyo maana hatukopesheki, mbongo kumpa pesa bila ya kuweka dhamana kulipa ngumu sana.
Na mbaya zaidi we are proud of it....
 
Back
Top Bottom