Wakulima wamepata changamoto na hasara ni 90% mm nipo Dodoma na ndio ardhi yake na sithubutuMbona wewe unaongea negative tu za fisi wewe umefanya utafiti au unakatisha tu tamaa
Madawa yanategemea na magonjwaNaomba kujua aina ya madawa
Tupe mrejesho kama ulishampata nasi tumjue .wandugui hawa majamaa wa hivi msiwaamini kuna mwizi mmoja kaniibia pesa kibao na alikuja hapa jf na mambo haya ya matikiti namsaka nikimpata atanitambua ameblock namba lakini alivyokilaza ntamkamata kama kandege .............nipo busy na yeye najua saa hizi anatumbua pesa zangu daadeki............
Nipo hatua nzuri yupo hapa stak kusema mengiTupe mrejesho kama ulishampata nasi tumjue .
Naomba ukimpata utujulishe ili nasi tusilizwe.Nipo hatua nzuri yupo hapa stak kusema mengi
Ni kweli unachosema mkuu watu wanadanganya sana.Hizo ni hesabu za karatasi kijana uliza hali halisi ya shambani ikoje na always usikurupuke kwa maandishi nenda kafanye survey mwenyewe! Niko ktk hii field ya kilimo kwa muda sasa ni kwli inalipa but huwez anza ikulipe hapohapo...mwanzon lazima ule hasara za kutosha
Mkuu tufungue what happened,ulikutana na mbabe Scorpion nn akakupa za chembe?maana hizo ndio pande zakeShikamoo tikiti. Mwaka jana baada ya uchaguzi nilivuna tikiti fuso kubwa ikajaa mpaka juu. Mzigo nikaingia nao buguruni sokoni. Kilichonikuta mweh!.
Duh pole sana aisee...Mkuu tikiti ukikosea timing ya Soko lazima ulie kilugha. Wewe fikiria fuso zima, kila siku yananuliwa matikiti yasiyozidi 100. Baada ya siku tatu nikamkimbia dalali nikamwachia zigo. Zigo lilishaanza kuoza na hata hela ya Ushuru nisingeweza kumlipa.
Wewe nishakwambia ni matapeli nipate nisimpate kaa ukijua hawa watu ni weziN
Naomba ukimpata utujulishe ili nasi tusilizwe.
Ni kosa kubwa ulifanya. Kama umeamua kulima wewe lima acha madalali waje kukulangua shambani. Masoko yanahitaji experience. Usije jaribu peleka mzigo sokoni hta kama umeshakubaliana na dalali. Acha achukue mzigo shambani akulipe apo hapo.Mkuu tikiti ukikosea timing ya Soko lazima ulie kilugha. Wewe fikiria fuso zima, kila siku yananuliwa matikiti yasiyozidi 100. Baada ya siku tatu nikamkimbia dalali nikamwachia zigo. Zigo lilishaanza kuoza na hata hela ya Ushuru nisingeweza kumlipa.
Kweli Kabisa,mimi nimetumia 2Mln kwenye kilimo cha umwagiliaji zao la Tikiti.Huko sawa kabisa mkuu, cha msingi nadhani ni kutambua kuna mema na changamoto za kilimo cha tikiti. Na vile vile itambulike kuwa kuna walitajirika tena bado wana tajirika katika zao hili.
Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni kwamba wale walifanikiwa ni wachache halafu wengi ya hawa wachache ni wachoyo wa kutoa taarifa ama kuamasisha jinsi walivyofikia hayo mafanikio, hii inasikitisha.
Kinachobaki sasa ni kuwa na watu wengi ambao hawajafanikiwa wanaokatisha watu tamaa.
Mimi ni binafsi tikiti nililima kama kujifunza katika eneo dogo sana.
Nilichojifunza
1. Tikiti linahitaji timing nzuri sana, ninapoongelea timing namaanisha kujua muda gani upande ili ukivuna uwe hujakutana na wauzaji wengi sokoni.
2. Tikiti linafaa kupandwa kwa kanuni za kisasa kupata matokeo bora. Hapa namaanisha kuchagua mbegu bora na kupanda kwa kuacha nafasi ya kutosha.
3. Madawa ni ya muhimu sana kupigwa kwa wakati.
4. Periodic inspication ya shamba ni muhimu sana sana.
Nina mpago mkakati ambao nilipewa na rafiki yangu hiko kwenye hard copy. Kwa anayetaka niko tayari kumpatia imeandikwa na mhadhiri wa chuo cha Sokoine.
Vijana tupende kusaidiana wakuu.
Sawa kabisaNi kosa kubwa ulifanya. Kama umeamua kulima wewe lima acha madalali waje kukulangua shambani. Masoko yanahitaji experience. Usije jaribu peleka mzigo sokoni hta kama umeshakubaliana na dalali. Acha achukue mzigo shambani akulipe apo hapo.
Loh ! Inakatisha tamaa mkuuNijijaribu hiyo nikiwa chuo kikuu mwaka wa pili matikiti yote yalipasuka kwa kujaa maji niliumia zaidi nilipozunguka shamba la heka nne kupiga dawa na pump ya mgongoni kilimo ni bahati nasibu ya mtu tu