Tajirika na Tikiti ungali bado kijana

Tajirika na Tikiti ungali bado kijana

Hiyo habari ya maandiko kuhusu Kilimo cha tikiti siyo ya kuifatilia.Ukitaka kujua changamoto na faida ya kilimo ingia uone,kilimo kina changamoto kubwa sana
 
.....Siku zote jifunze toka kwa waliofanikiwa sio toka kwa walioshindwa......
You are wrong, ukitak kufanikiwa kwanza jifunze kutoka kw walioshindwa then kutoka kwa waliofanikiwa. Umefik Mtwara ukakutan na changamoto ya uhaba wa mbogamboga sokoni, mboga bei ghali ukaona kuna fursa, lazima utafute kwanza wanaosupply hapo sokoni wanashindwa nini kuzalisha vya kutosha, wanakosa kitu gani, ukishasoma udhaifu wao nenda kajifunze kilimo cha nyanya kwa waliofanikiwa, then rudi mtwara kulima hizo nyanya! Biashara nyingi zenye ushindani ni namna hiyo, unajifunza weakness za washindani, unaboresha unakamata soko.
 
Hapo hajazungumzia maandalizi ya shamba, issue ya mbegu,
Mfano kuandaa shamba pori gharama ziko hivi kwa ekari 1
Kung'oa visiki na miti 250k
Kulima kwa trekta 50k
Kupiga hallow 80k
Weka mbegu
Kusia issue ya dawa
Yaani roughly inaweza kufika 700k
 
Jamani naomba mkulima mwenyewe ufahamu wa ugonjwa wa majani kujikunja Katika kilimo cha pilipili mbuzi dawa yake ni nini
 
Jamani naomba mkulima mwenyewe ufahamu wa ugonjwa wa majani kujikunja Katika kilimo cha pilipili mbuzi dawa yake ni nini
Mkuu fungua uzi mpya ambatanisha na picha i hope utapata msaada
 
Haya mambo wagasikweli bana ukitaka ujue siokwe nendakajaribu uone
 
Mkuu mm nipo humo kwenye hicho kilimo...soko kwa sasa haliheleweki kila mtu kalima tikiti alafu hesabu hizo ni za mitandaoni ingia kwenye field utaona....usitie watu moyo alafu wakaingia kwa fujo mwishowe wakakata tamaa ya maisha
Bora umesema ukweli na kutoa tahadhari kwa wanajamii
 
Back
Top Bottom