Tajirika na Tikiti ungali bado kijana

Tajirika na Tikiti ungali bado kijana

Huko sawa kabisa mkuu, cha msingi nadhani ni kutambua kuna mema na changamoto za kilimo cha tikiti. Na vile vile itambulike kuwa kuna walitajirika tena bado wana tajirika katika zao hili.

Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni kwamba wale walifanikiwa ni wachache halafu wengi ya hawa wachache ni wachoyo wa kutoa taarifa ama kuamasisha jinsi walivyofikia hayo mafanikio, hii inasikitisha.

Kinachobaki sasa ni kuwa na watu wengi ambao hawajafanikiwa wanaokatisha watu tamaa.

Mimi ni binafsi tikiti nililima kama kujifunza katika eneo dogo sana.

Nilichojifunza
1. Tikiti linahitaji timing nzuri sana, ninapoongelea timing namaanisha kujua muda gani upande ili ukivuna uwe hujakutana na wauzaji wengi sokoni.

2. Tikiti linafaa kupandwa kwa kanuni za kisasa kupata matokeo bora. Hapa namaanisha kuchagua mbegu bora na kupanda kwa kuacha nafasi ya kutosha.

3. Madawa ni ya muhimu sana kupigwa kwa wakati.

4. Periodic inspication ya shamba ni muhimu sana sana.

Nina mpago mkakati ambao nilipewa na rafiki yangu hiko kwenye hard copy. Kwa anayetaka niko tayari kumpatia imeandikwa na mhadhiri wa chuo cha Sokoine.

Vijana tupende kusaidiana wakuu.
Mkuu nina mpango wa kulima tikiti mwezi wa tano simiyu.nahitaji sana hizo mambo za sokoine
 
View attachment 398168
Mimi sio mkulima ila nimevutiwa na hii sijui ni kweli

~*Tajirika na Tikiti*~

Hii si Hamasa tena ni zaidi ya kweli.....

*TAJIRIKA UKIWA KIJANA ~ LIMA TIKITI*

Kwa wastani heka moja ya tikiti inakuwa na mashimo ya mbegu kuanzia 2000-3000 na kila shimo linaweza kuzalisha matunda 3-5 maana yake unaweza kupata matikiti 6,000-15,000 kwa heka.

Hii inamaanisha ukiuza tikiti moja kwa 1,500 unaweza kupata 9,000,000-22,500,000.

Basi tufanye uza tikiti moja sh 1,000 maanake utapata 6,000,000-15,000,000.

Kumbuka hii kitu ni ndani ya miezi 3.

Alafu kinachoumiza zaidi gharama ya uendeshaji ni chini ya 1,000,000 kwa heka moja.

*Ebu jamani tuache utani tujikite kwenye Kilimo maana Kilimo Kinalipa Sana.*

*Usiishie kusoma hizi namba kwenye maandishi ebu kafanye kwa vitendo ili utuletee majibu hapa.*
Ni vizuri maelezo, mengi ya kimaandishi yana vutia ila practically matokeo yanategeme vitu vingi....
1. Msimu uliolima,
2. Usimamizi wa shamba
3. Hali ya soko wakati wa mavuno.
n.k

Binafsi nimewahi kulima, sio mbaya sana ila unapoingia kufanya ujiandae vizuri na uache kuwa na matarajio makubwa sana unaweza akajikuta unapagawa.

Na failure isikuvunje moyo bali tulia uangalie umekosea wapi then unarekebisha.
 
Hizo ni hesabu za karatasi kijana uliza hali halisi ya shambani ikoje na always usikurupuke kwa maandishi nenda kafanye survey mwenyewe! Niko ktk hii field ya kilimo kwa muda sasa ni kwli inalipa but huwez anza ikulipe hapohapo...mwanzon lazima ule hasara za kutosha
Uko sahih sana mkuu! Binafsi nililima Mara ya kwanza nikapate faida kama 1m tena baada ya kupigana Kweli kweli....nikarudia tena nikapata hasara kama ya 1.7m ila kikubwa ni kuwa Mara zote nimeweza kujifunza nilipokosea so I hope KAFIRI ninavyoendelea nitaweza kufanya vizuri zaid kwa hiyo ninawaomba vijana wenzangu tusikurupuke na numbers.
 
Shikamoo tikiti. Mwaka jana baada ya uchaguzi nilivuna tikiti fuso kubwa ikajaa mpaka juu. Mzigo nikaingia nao buguruni sokoni. Kilichonikuta mweh!.
Malizia sasa kimekukuta nn hapo unafanya kila MTU awe Na tafsiri yake
 
Mkuu tikiti ukikosea timing ya Soko lazima ulie kilugha. Wewe fikiria fuso zima, kila siku yananuliwa matikiti yasiyozidi 100. Baada ya siku tatu nikamkimbia dalali nikamwachia zigo. Zigo lilishaanza kuoza na hata hela ya Ushuru nisingeweza kumlipa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenichekesha sana Eti Zigo ukamuachia DALALI ndio mambo ya BIASHARA hasa hizo perishable we Mwaka Jana siumeona nyanya zilivyo wafanya watu bola wewe ulipata hata moyo wa kusafirisha hadi Buguruni nyanya ziliachwa hapo hapo shamba wanakula ngombe tu Na nyanya ilivyo Na galama kwenye matunzo.alafu MTU anakuletea hesabu za kuwa tajiri kumbe anataka ukafe kabisa. Kilimo kina mambo mengi sana mm niliwahi Lima Mpunga heka nyingi sana Na ulikubari sana maana nilifuata utaratibu zote mbka nikawa nikifika shamba naupiga Na picha ili niweke kumbukumbu watu ilikuwa habari ya mjini hilo shamba kunajilani yangu alikuwa naye kakima Mpunga eneo DOGO tu Na ulikuwa wakaida tu ILA kilasiku kuna vibibi viwili havitokoni Na NGUO zao nyeusi wapo bize Na kupalilia mala kufukuza ndege mala yaani kilichokuja kutokea kwenye mavuno nilipata gunia tano majilani waka vuna zaidi hadi watu wakashangaa. Mambo Hayo nayasikia yapo pia kwenye vitunguu .
 
Kilimo kisikie tu, mi nshalala sana shamba...Zika hela ya kutosha 2M+ kilichonikuta sasa! Bora hio hela ninge bet game za mpira za live ningekuwa millionea mpaka sasa.
 
Mkuu ni kweli kabisa, unakuta mtu anapigiwa hadithi ya kwamba kilimo kinalipa ile mbaya na wala hajawahi kuingia hata shambani. Hajui chochote kuhusu shamba sasa anashushiwa mahesabu mazito kama hayo kisha na yeye anaishia kupost hapa jukwaani. Akiingia ndio hapo anajua uhondo wa ngoma. Kilimo kinalipa ila sio kwa mahesabu hayo ya kwenye mitandao, kwani kuna changamoto nyingi mpaka ufanikiwe.
Sharing ni muhimu hivyo hata kama hana uzoefu kwa kupost kuna watu wamepata akili ya kujua kilimo ni ishu, la msingi kwa kuwa ameweka hapa kila mmoja anaongea uzoefu wake na watu tunafanya maamuzi yaliyo informed.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenichekesha sana Eti Zigo ukamuachia DALALI ndio mambo ya BIASHARA hasa hizo perishable we Mwaka Jana siumeona nyanya zilivyo wafanya watu bola wewe ulipata hata moyo wa kusafirisha hadi Buguruni nyanya ziliachwa hapo hapo shamba wanakula ngombe tu Na nyanya ilivyo Na galama kwenye matunzo.alafu MTU anakuletea hesabu za kuwa tajiri kumbe anataka ukafe kabisa. Kilimo kina mambo mengi sana mm niliwahi Lima Mpunga heka nyingi sana Na ulikubari sana maana nilifuata utaratibu zote mbka nikawa nikifika shamba naupiga Na picha ili niweke kumbukumbu watu ilikuwa habari ya mjini hilo shamba kunajilani yangu alikuwa naye kakima Mpunga eneo DOGO tu Na ulikuwa wakaida tu ILA kilasiku kuna vibibi viwili havitokoni Na NGUO zao nyeusi wapo bize Na kupalilia mala kufukuza ndege mala yaani kilichokuja kutokea kwenye mavuno nilipata gunia tano majilani waka vuna zaidi hadi watu wakashangaa. Mambo Hayo nayasikia yapo pia kwenye vitunguu .
Si unajua watu walilima bila target mambo yakawa ndivyo sivyo
Uko sahih sana mkuu! Binafsi nililima Mara ya kwanza nikapate faida kama 1m tena baada ya kupigana Kweli kweli....nikarudia tena nikapata hasara kama ya 1.7m ila kikubwa ni kuwa Mara zote nimeweza kujifunza nilipokosea so I hope KAFIRI ninavyoendelea nitaweza kufanya vizuri zaid kwa hiyo ninawaomba vijana wenzangu tusikurupuke na numbers.
Mkubwa experience ni kila kitu katika kila jambo.na kila kitu mwanzo mgumu
Ni vizuri maelezo, mengi ya kimaandishi yana vutia ila practically matokeo yanategeme vitu vingi....
1. Msimu uliolima,
2. Usimamizi wa shamba
3. Hali ya soko wakati wa mavuno.
n.k

Binafsi nimewahi kulima, sio mbaya sana ila unapoingia kufanya ujiandae vizuri na uache kuwa na matarajio makubwa sana unaweza akajikuta unapagawa.

Na failure isikuvunje moyo bali tulia uangalie umekosea wapi then unarekebisha.
Tatizo nyuzi nyingi zinazungumzia faida.hakuna changamoto wa hasara zinazoweza kutokea.kama mtu akiamua kujilipua kulima ajue lolote laweza geuka mategemeo

Nilichogundua baadh ya watu tunavunjana moyo.
 
Haya bana. Wee ingia field ili uje matokeo yako mkuu. Soon kubwa kwenye huu uzi: zakuambiwa... changanya na zako.
 
Hesabu za kwenye karatasi hizo!...
Hujakodisha shamba
Hujawalipa wafanyakazi
Dawa
Maji ya kumwagilia inategemea location ya shamba unaweza hitaji pump + petrol...horse pipe
Mbolea urea,npk,can
Booster (foliar fertilizer)
Usafirishaji
Ushuru wa soko Kila tunda 200/-
Wapakiaji
Hujamlipa dalali
Hujaibiwa matunda sokoni
Bidhaa ya tikiti ni perishable mengine yataoza
Price flactuation especially mkigongana wengi mmevuna

Changamoto ni nyingi sana sio jambo rahisi kiasi hicho
 
Hizo ni hesabu za karatasi kijana uliza hali halisi ya shambani ikoje na always usikurupuke kwa maandishi nenda kafanye survey mwenyewe! Niko ktk hii field ya kilimo kwa muda sasa ni kwli inalipa but huwez anza ikulipe hapohapo...mwanzon lazima ule hasara za kutosha
Kwanini lazima hasara?
 
Kwanini lazima hasara?
Sio kwamba ni lazima hasara.....ila wengi tunapata hasara mwanzo kwa kukosa uzoefu....kama ilivyo Kwa biashara yoyote nyingine, hadi unaona mtu kasimama huwezi jua Kesho anguka Mara ngapi!!

Hebu chukulia mfano ufundi unaweza kukutana mtu ni Fundi nzuri wa umeme anapata tender kwenye majengo mbali mbali ila huwezi jua hapo kabala alishapigwa shot Mara ngapi!? Au alishaunguza mein switch za watu ikabidi atoe hela mfukoni kununua kwa hela yake hadi unatoka wakati anakuja competent.....

Mfano mm Nina ndugu yangu mmoja ni Fundi nzuri sana wa ICT ila wakati anajifunza alishawahi kupunguza PC ya mwalimu wake ikabidi brother wake alipewa....so leo ukimuona utasema jamaa ana make money kwa ufundi wake nawe utatamani uingie kwenye hiyo field Kumbe mwenzio ameshapoteza nguvu kubwa, Mali na time hadi kutoka hapo alipo.....

Kwa kwa ufupi ni kuwa tuache kutarajia makubwa kwa juhudi ndogo na tuache kukatishana tamaa!
 
Ukianguka then unatazama ulikosea wap then unanza upya.cha msingi ni kuanza na shamba dogo kwanza ili kama ni hasara iwe ndogo.mimi lazima nianze na nusu hectare. Tena nimejipanga kikamilifu
 
Back
Top Bottom