Tajirika na Tikiti ungali bado kijana

Tajirika na Tikiti ungali bado kijana

mahesabu haya ni ya kwenye makaratasi lakin uhalisia sivyo
Mimi niko shamba fanya kazi ya Kilimo Kwa heka 2 matumizi hadi hadi una vuna ni 3,800,000 hapo umwagiliaji, Mafuta ya Jenerator na wafanyakazi wa kuhudumia shamba ni vijana watatu
04a16e4352ec9ce48ff2bf6fc8235e78.jpg
3a876544abb44a7cf9b80c3a78f35cde.jpg
 
Africans we are in a cycle of fear which leads to people not wanting to spend and not wanting to make investments, and that leads to more fear. We'll break out of it. It takes time.
 
Shida ni purchasing power ya watu ni ndogo! Wengi tunaishi kwenye umasikini uliokithiri.mtu kwenye familia yake mboga tu ya kula mchana inakuwa shida vipi kwenye kununua tunda la elf 1.
 
Huko sawa kabisa mkuu, cha msingi nadhani ni kutambua kuna mema na changamoto za kilimo cha tikiti. Na vile vile itambulike kuwa kuna walitajirika tena bado wana tajirika katika zao hili.

Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni kwamba wale walifanikiwa ni wachache halafu wengi ya hawa wachache ni wachoyo wa kutoa taarifa ama kuamasisha jinsi walivyofikia hayo mafanikio, hii inasikitisha.

Kinachobaki sasa ni kuwa na watu wengi ambao hawajafanikiwa wanaokatisha watu tamaa.

Mimi ni binafsi tikiti nililima kama kujifunza katika eneo dogo sana.

Nilichojifunza
1. Tikiti linahitaji timing nzuri sana, ninapoongelea timing namaanisha kujua muda gani upande ili ukivuna uwe hujakutana na wauzaji wengi sokoni.

2. Tikiti linafaa kupandwa kwa kanuni za kisasa kupata matokeo bora. Hapa namaanisha kuchagua mbegu bora na kupanda kwa kuacha nafasi ya kutosha.

3. Madawa ni ya muhimu sana kupigwa kwa wakati.

4. Periodic inspication ya shamba ni muhimu sana sana.

Nina mpago mkakati ambao nilipewa na rafiki yangu hiko kwenye hard copy. Kwa anayetaka niko tayari kumpatia imeandikwa na mhadhiri wa chuo cha Sokoine.

Vijana tupende kusaidiana wakuu.
Mkuu naezaje kupata hizo nondo za kilimo cha tikiti
 
naomba namba za simu, mimi mwenyew npo Dar maeneo ya Chuo cha Kampala
 
PESA YA KWENYE KEY BORDY INAZUZUA KWELI,
field pagumu sana, tena sana wandugu.
 
Ndo kama zile story za mfalme JUHA au ABUNUASI
Ingia shambani ucheze muziki mnene.....na sio paper work mkuu
 
Kilimo kinalipa lakini ni kazi moja inayotaka umakini mkubwa na uchapa kazi wa hali ya juu.

Ni kazi ambayo haiwafai kabisa watu wavivu wavivu na wanaoota utajiri wa haraka haraka kama Watanzania wengi walivyo.
 
Nimekupata ila naomba usahihishe mstari wa mwisho hivi"wanaoota utajiri wa harakaharaka kama VIJANA wengi walivyo". Kuna Watanzania wazee wamelima maisha yao yote,bado umasikini ni sehemu ya maisha yao na hawajaota utajiri wa harakaharaka.
 
Wanalima eka mbili ndiyo kulima huko, wakipata mavuno kidogo kwenda vilabu vya pombe kulewa.

Huko ndiyo kulima?

Tafadhali sana, mimi nimeishi Canada kwa muda mrefu zaidi ya nilioishi Tanzania ingawa nilizaliwa Tanganyika. Nimeona huku wakulima, utamkuta mtu na mkewe na watoto wao wawili lakini shamba wanalolima ni kubwa kuliko mashamba ya kampuni huko kwetu. Na ukisoma historia walianza mbali sana lakini wakafanya mageuzi makubwa sana ya kilimo.

Nyerere aliwaita Wacanada waje kutufundisha kulima, wakakaa huko, wakafundisha wakafanya mashamba makubwa tena mazuri sana, yakawa yanatoa ngano nyingi sana na nzuri tu, walipoondoka tu, tukauwa kila kitu, kuanzia mashamba mpaka vifaa vya mashamba vya kisasa (kwa wakati huo) walivyotuachia, sasaa hivi kumebaki nini huko?

Nenda kajionee Hanang.
 
Swali dada Faiza: Vijana wanasubiri nini kuleta mageuzi hayo? Kielimu wako juu kuliko wazee wetu,sasa tatizo ni nini? Au ndiyo hayo maoni yangu kuwa wanataka vya harakaharaka? Nilienda baadhi ya maeneo potential kwa kilimo kama Sumbawanga,vijana wamehamia kwenye bodaboda! Nahisi kuna quick but simple win.
 
Huko sawa kabisa mkuu, cha msingi nadhani ni kutambua kuna mema na changamoto za kilimo cha tikiti. Na vile vile itambulike kuwa kuna walitajirika tena bado wana tajirika katika zao hili.

Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni kwamba wale walifanikiwa ni wachache halafu wengi ya hawa wachache ni wachoyo wa kutoa taarifa ama kuamasisha jinsi walivyofikia hayo mafanikio, hii inasikitisha.

Kinachobaki sasa ni kuwa na watu wengi ambao hawajafanikiwa wanaokatisha watu tamaa.

Mimi ni binafsi tikiti nililima kama kujifunza katika eneo dogo sana.

Nilichojifunza
1. Tikiti linahitaji timing nzuri sana, ninapoongelea timing namaanisha kujua muda gani upande ili ukivuna uwe hujakutana na wauzaji wengi sokoni.

2. Tikiti linafaa kupandwa kwa kanuni za kisasa kupata matokeo bora. Hapa namaanisha kuchagua mbegu bora na kupanda kwa kuacha nafasi ya kutosha.

3. Madawa ni ya muhimu sana kupigwa kwa wakati.

4. Periodic inspication ya shamba ni muhimu sana sana.

Nina mpago mkakati ambao nilipewa na rafiki yangu hiko kwenye hard copy. Kwa anayetaka niko tayari kumpatia imeandikwa na mhadhiri wa chuo cha Sokoine.

Vijana tupende kusaidiana wakuu.
Hauna soft mkuu?
 
nipatie mkuu
 
Mimi ni Mkulima wa Tikiti niko Tundwi songani vikindu mashamba yako Karibu na MAJI yanakodishwa Kwa heka laki
Jieleze vizuri ni mkoa gani na wilaya gani huko tundwi. Kilimo hicho kinafanyika kuanzia mwezi gani hadi mwezi upi
 
umeanza vizuri sana "tajirika na tikiti" nikajua wewe umeisha tajirika na kilimo cha tikiti kumbe hata shamba ujawai kuingia,,,kilimo siyo lelemama mkuu
 
Kwa ambao tunalima tikiti. Ekar 1 ya tikiti yenye miche 3000 tegemea kupata m3 had 4 kwa sasa. Ila awamu ya kikwete tulikuwa tunapata m6 hadi m9.
 
Mkuu tikiti ukikosea timing ya Soko lazima ulie kilugha. Wewe fikiria fuso zima, kila siku yananuliwa matikiti yasiyozidi 100. Baada ya siku tatu nikamkimbia dalali nikamwachia zigo. Zigo lilishaanza kuoza na hata hela ya Ushuru nisingeweza kumlipa.
hahaha ulilima kipindi gani ndugu. tatizo mnalima bila kupata ushauri wa wataalam
 
Back
Top Bottom