usisahau kufika wizara ya kilimo wakushauri vizuri ili usipate hasara kwa mara ya kwanzanaomba namba za simu, mimi mwenyew npo Dar maeneo ya Chuo cha Kampala
usisahau kufika wizara ya kilimo wakushauri vizuri ili usipate hasara kwa mara ya kwanzanaomba namba za simu, mimi mwenyew npo Dar maeneo ya Chuo cha Kampala
mimi ninayo ipo kwenye pdf ila ndugu niliipata kwa helaHauna soft mkuu?
Mkuu ni mkuranga huku mkoa wa pwaniJieleze vizuri ni mkoa gani na wilaya gani huko tundwi. Kilimo hicho kinafanyika kuanzia mwezi gani hadi mwezi upi
Hahahahaha mm mkulima najua kilimo kilivyo, hakuna kitu kama hikiView attachment 398168
Mimi sio mkulima ila nimevutiwa na hii sijui ni kweli
~*Tajirika na Tikiti*~
Hii si Hamasa tena ni zaidi ya kweli.....
*TAJIRIKA UKIWA KIJANA ~ LIMA TIKITI*
Kwa wastani heka moja ya tikiti inakuwa na mashimo ya mbegu kuanzia 2000-3000 na kila shimo linaweza kuzalisha matunda 3-5 maana yake unaweza kupata matikiti 6,000-15,000 kwa heka.
Hii inamaanisha ukiuza tikiti moja kwa 1,500 unaweza kupata 9,000,000-22,500,000.
Basi tufanye uza tikiti moja sh 1,000 maanake utapata 6,000,000-15,000,000.
Kumbuka hii kitu ni ndani ya miezi 3.
Alafu kinachoumiza zaidi gharama ya uendeshaji ni chini ya 1,000,000 kwa heka moja.
*Ebu jamani tuache utani tujikite kwenye Kilimo maana Kilimo Kinalipa Sana.*
*Usiishie kusoma hizi namba kwenye maandishi ebu kafanye kwa vitendo ili utuletee majibu hapa.*
Acha kukaa nalo tu, tikiti muda wa kuvuna ukifika lazima uvune hata kama bei haielewi wala huna wa kumuuzia linaharibikanaomba niwaulize kwa waliolima tikiti baada ya kulivuna unaweza uka kaa nalo kwa muda gani tikiti bila kuharibika
Kaka nitumie huo mpango mkakati 0629088997Huko sawa kabisa mkuu, cha msingi nadhani ni kutambua kuna mema na changamoto za kilimo cha tikiti. Na vile vile itambulike kuwa kuna walitajirika tena bado wana tajirika katika zao hili.
Tatizo kubwa ninaloliona mimi ni kwamba wale walifanikiwa ni wachache halafu wengi ya hawa wachache ni wachoyo wa kutoa taarifa ama kuamasisha jinsi walivyofikia hayo mafanikio, hii inasikitisha.
Kinachobaki sasa ni kuwa na watu wengi ambao hawajafanikiwa wanaokatisha watu tamaa.
Mimi ni binafsi tikiti nililima kama kujifunza katika eneo dogo sana.
Nilichojifunza
1. Tikiti linahitaji timing nzuri sana, ninapoongelea timing namaanisha kujua muda gani upande ili ukivuna uwe hujakutana na wauzaji wengi sokoni.
2. Tikiti linafaa kupandwa kwa kanuni za kisasa kupata matokeo bora. Hapa namaanisha kuchagua mbegu bora na kupanda kwa kuacha nafasi ya kutosha.
3. Madawa ni ya muhimu sana kupigwa kwa wakati.
4. Periodic inspication ya shamba ni muhimu sana sana.
Nina mpago mkakati ambao nilipewa na rafiki yangu hiko kwenye hard copy. Kwa anayetaka niko tayari kumpatia imeandikwa na mhadhiri wa chuo cha Sokoine.
Vijana tupende kusaidiana wakuu.
Kilimo hakihitaji mpango mkakati mkuuKaka nitumie huo mpango mkakati 0629088997
Sawa mkuu nashukuru,lakini mimi niko arusha vp nikipindi gani kizuri kulima hili zao?Kilimo hakihitaji mpango mkakati mkuu
Kilimo kinahitaji shamba zuri, hali ya hewa nzuri, mbegu nzuri, huduma nzuri na kwa wakati yani muda wa kupanda ww panda muda wa kupapalilia palilia muda wa dawa piga dawa na muda kuvuna ww vuna tena uwe na uhakika wa soko na ulime kwa taiming usije ukavuna tikiti wakati wa baridi yanakuwa hayana soko jitahidi kuvuna wakati wa joto ndio yanakuwa na dili
Cha ajabu ndugu mtoa post hajavizungumzia hivyo nilivyokwambia na hapo sijasema kama kutakuwa na risk yoyote hayo tuache sababu mipango ya mungu
Yeye kawajazia manamba makubwa ili muingie tamaaa
Tikiti linalipa hajazungumzia linahitaji shamba lenye udongo upi?Mdau yeye kaweka jinsi tikiti linavolipa ,sasa nyie mnaijua risk wekeni hapa sio kukosoa tuuuu , kama ulifeli wewe usikatishe watu tamaa,au tuambie kwanini ulifeli,ili tujue na sisi hizo changamoto.
Hapana mkuu mimi sijachanganyikiwa nahayo mamilioni sababu ninayo mengi tu,sasa wewe kama mkulima hebu tuambie ni udongo gani mzuri,mbolea nzuri,soko liko wapi,tupe nachangamoto za hiki kilimo,sasa sio kukosoa tuuuu haisaidii kila kitu knachangamoto zake,Tikiti linalipa hajazungumzia linahitaji shamba lenye udongo upi?
Hajasema unatumia mbegu ipi?
hajazungumzia mbolea
Hajasema madawa ya kupiga
Ww kuwekewa hayo mamilioni umechanganyikiwa, unashindwa hata kuuliza mambo ya msingi
Ww mkulima kweli ww?
kweli asee ukisema utoe mzgo quality si chini ya m3 gharama zoteNina rafiki yangu analilima tikiti. Gharama mpaka tikiti kwe ekari moja mpaka ziwe tayari zilifika zaidi ya milioni tatu na nusu. Hayo mahesabu ya milioni moja ni kuwavuta tu watu ila kiuhalisia ni gharama zaidi ya hio
Sasa mkuu hayo mamilioni yako mengi mm hayanihusu, alafu anayetakiwa aseme udongo upi mzuri sijui mbolea, mbegu na changamoto zake anatakiwa aseme mtoa mada sio mm na wala sijakosoa chochote ila nimesema kuna mambo ya muhimu ya kilimo hajayazungumzia naona post nzima imejaa mahesabu ya mamilioni tuHapana mkuu mimi sijachanganyikiwa nahayo mamilioni sababu ninayo mengi tu,sasa wewe kama mkulima hebu tuambie ni udongo gani mzuri,mbolea nzuri,soko liko wapi,tupe nachangamoto za hiki kilimo,sasa sio kukosoa tuuuu haisaidii kila kitu knachangamoto zake,
Lima maembe machungwaDuh....sasa wakuu hebu niambie ni kilimo gani kizuri ninazo heka 10 maeneo ya MKATA njia panda ya handeni natanguliza shukurani.
Sawa mkuu lakini hayo mambo muhimu tuambie yatolee maelezo nasisi tuyajue ili tuwe na tahazaliSasa mkuu hayo mamilioni yako mengi mm hayanihusu, alafu anayetakiwa aseme udongo upi mzuri sijui mbolea, mbegu na changamoto zake anatakiwa aseme mtoa mada sio mm na wala sijakosoa chochote ila nimesema kuna mambo ya muhimu ya kilimo hajayazungumzia naona post nzima imejaa mahesabu ya mamilioni tu
Unajua kuna wengine sio wakulima ila wanapenda kufanikiwa akiona mamilioni kama haya anachanganyikiwa...Sawa mkuu lakini hayo mambo muhimu tuambie yatolee maelezo nasisi tuyajue ili tuwe na tahazali
Hiko kwenye hard copy sio soft copyKaka nitumie huo mpango mkakati 0629088997