Taja(sema)unatumia simu gani?

Blackberry mbili zenye thamani ya usd 2500 nilinunua morogoro juzi kati
 
hii ndo kitu ya mrembo DSC01231.JPG
 
Scania 112. Hii inakamata netiweki mpaka milima ya kitonga. Battery naweza tumia hata National Panasonic.
 
Afrodenzi anatumia nokia 232
Dena Amsi anatumia siemens S4
Preta anatumia Motorola StarTAC
Husninyo anatumia motorola flip
 
Motorola mche wa sabuni, ile iliyo na eria kama radio, uzito 500grams, urefu 6", lakini network popote pale.
Raha yake, hata ukiidondosha barabarani watu wanakwita wakurejeshee, wanahofia ni bomu.
 
Back
Top Bottom