Taja(sema)unatumia simu gani?

natumia latest version ya apple+ipad+iphone.

Yaani huwa naongea yenyewe inatype tu.
 
Ya tochi ninayo halafu ndo nimeiwekea tigo na ile line ya kijanja nimeweka kwenye nokia c3-01
 
Sina simu mchango wenu unahitajika wa hali na mali angalau na mie niwe kwenye mtandao
 
Back
Top Bottom