Taja(sema)unatumia simu gani?

Taja(sema)unatumia simu gani?

poleni kwa kazi wana jf.ninafanya utafiti wa watumiaji wa jf ni simu gani ni popular.mimi natumia sony ericsson u10i.

blue-berry...
 

Attachments

  • blueberry.jpg
    blueberry.jpg
    43.2 KB · Views: 46
Yangu ilishafutika jina afu siikumbuki tena. Ila ni ile yenye line 4.
 
mwangaluka! me nokia dabo dabo na samsung 3410 na ndiyo inanipa access ya internet! wabheja sana mwanawane......
 
Yangu jina limefutika, of koz hata keypad zimekwanguka kabisa, ngoja nikaangalie user manual halafu nitakuja waeleza ni aina gani...
 
Nokia ya tochi.

Wife! Umekuaje ? Wanifedhehesha ? Si nilishakumarufuku mizahamizaha kwenye ma'Social networks ?
Usingizi wa Judgement na Nokia ya torch ? Wapi na wapi !
Baalezee makitu nayoyafanya kwako banaa!
Hakuna mwenye ubavu wa kukuroga hapa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom