taja elimu yako........

taja elimu yako........

Madrasa 2 pale bugurunu kwa Mnyamani bahati mbaya shehke wangu amefariki dunia
 
kwani Erickb52 nivifurahie hivyo vitatu Bishanga hana?hivyo viazi viwili vya kukaanga na sosage moja vinifanye nichizike kwako na huku kwa bepari ana viazi viwili fresh na tango vipi kati ya vitatu hivyo ni bora?
The secretary tango unadhani mchezo? utakufa meeen
 
Last edited by a moderator:
hivi mbona waliosoma MEMKWA sijawaona,au wanadhani watuwafahamu. ngoja niwataje hapa. Nicas Mtei we si ulisoma MEMKWA pale mapambano primary school, mbona umejikausha? Elizabeth Dominic we ulisoma MEMKWA Pale azimio primary?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom